Recent content by Muteyan

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Arusha Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    mnaendeleaje na kilimo cha MAHARAGE huko?? nimeotesha na palizi ya kwanza tayari Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Mimi nayalima ila nayalima kienyeji. Gharama zake ni kama ifuatavyo Kugeuza eka moja no 30,000 Kuotesha eka moja in 30,000 Kupalilia eka moja 30,000 Kila eka moja debe moja LA kg 20 linatosha Kungoa maharage eka moja ni 10,000 Kupiga maharage ni 5000 KWA gunia, ambapo mara nyingi navuna...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho fao la kujitoa kutoka NSSF

    Monthly kama salary, really disapointing
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho fao la kujitoa kutoka NSSF

    Mi jana nimeenda nssf Bado wanaongelea habari za 33percent
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho: Wafanyakazi wanalazimishwa kufanya Maandamano ya Kumpongeza Rais

    Hafu fao la kujitoa hamna mabadiliko Wala nini, jana nimeenda nssf ni kilio tu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta lotion nzuri ya kurudisha ngozi asili

    Tafuta mafuta ya multibutter, yana Shea butter, mango butter na cocoa butter ndani yake, yametengenezwa USA, bei yake haizidi 15,000. Hutojutia
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, unaweza kushea nywila ya ATM na mkeo/mumeo?

    Katka swala ambalo tunalipeleka kwa uwazi sana katika ndoa yetu ni swala LA hela kwa kweli, hatunaga siri hafu tuna one common password kwa ATM zote na mpsa zetu zote. Mi kama Mr hajui anashikaga kadi take inapokuwa imemezwa ndo anaishika tena sio kukaa Nayo, anaenda kunichukulia yani, mshahara...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni feedback kwa mliowahi kutumia haya mafuta

    Queen Elizabeth og yametengenezwa nchi gani wapendwa, Leo nimeenda dukani kuyafata nilipoona ona tu ni made in courtdevoire sijui cot what nikakosa imani nayo kabisa, ikabidi tu nije na Shea butter, i
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tupeane possible za written Interview TRA

    Jamani, mbona wengine hatujaitwaa na tuliaply Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Cheti cha ndoa

    Sasa cha serikali ndo kinachotumika, siku ya harusi unapewa vyote viwili
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kupata mimba kaamua mwenyewe!

    Sio wote wanaamua wenywe, ni kweli ni bahati mbaya, as for me ilitokea siku ya kwanza naanza kukutana Na mpenzi Wangu, nilikua sijui a wala ee kitu kikanasa Tena cha kike. From there sasa hivi naulewa mwili Wangu vibaya mno, sijawahi tumia contraceptive yoyote, natembea Na siku tu. Ujinga wa...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uke wake unatoa harufu mbaya, Nimuache?

    nashukuru.
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uke wake unatoa harufu mbaya, Nimuache?

    Nina tatizo ambalo kwa sasa imekuwa ikinikosesha raha sana jamani. nikiwa nakaribia kublid uke wangu unatoa harufu ambayo sio nzuri kwa kweli. Hali hiyo pia inajirudia nikiwa kwenye siku za mwisho blid. Naoga asubuhi na jioni. Help me plz.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tatizo la kuwa na mabaka kwenye ulimi

    ndiyo, mi nina tatizo hilo na ulimi unakukua viukungu vyeupe, shida ni ni?? natafanyeje ili niondoe?
Back
Top Bottom