Recent content by Mutashindwa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Wakuu naombeni ushauri, Nina rafiki yupo USA tulikutana. online tuna miezi miwili sasa, je akinitumia mwaliko pale US embassy watanipa visa? au inatakiwa urafiki uwe wa mda mrefu ?? angalau miezi mingapi??? Nisaidieni. wakuu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa simu (smartphones) kutoka China ni sh. ngapi?

    Mhh !!! mbn kimya ???!!!???
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa simu (smartphones) kutoka China ni sh. ngapi?

    Wadau, Mimi nina plan ya kufanya biashara ya simu kutoka China lakini sijui ushuru ni kiasi gani pale Airport. Naomba anaejua anifahamishe.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kufanya nae biashara

    Mkuu weka namba yako hapo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo midogo midogo

    Mkuu mm niko Dar nahitaji mil 1 lkn cna dhamana lkn nina uhakika wa kurejesha bila wasiwasi coz nimeajiriwa tena kwny kampuni maarufu Tz nzima kila mtu anaijua
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nchi gani ya Ulaya ni rahisi kupata visa na kazi?

    Matunge naomba unicheck . mi cjui namna ya kuangalia no. yako kwny hii app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nchi gani ya Ulaya ni rahisi kupata visa na kazi?

    Coz cjui namna ya kuangalia namba
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nchi gani ya Ulaya ni rahisi kupata visa na kazi?

    Matunge naomba unicheck on watsapp 0656747074
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nchi gani ya Ulaya ni rahisi kupata visa na kazi?

    Mkuu nicheck watsaap 0656747074
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nchi gani ya Ulaya ni rahisi kupata visa na kazi?

    Safi sana mkuu kwa ushauri mzuri kuhusu driving niko vizuri but kwa gari ndogo za auto, pia kuhusu lugha niko vizuri pia
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nchi gani ya Ulaya ni rahisi kupata visa na kazi?

    Asante mkuu kwa ushauri but naomba unielekeze inafikaje mil. 5 wakati nauli ni 1.5?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nchi gani ya Ulaya ni rahisi kupata visa na kazi?

    Kwa upande wa lugha niko vizuri sana but urahisi wa kupata visa na mahali pa kufikia huko. Naombeni msaada
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni mwanasiasa yupi mahiri kwa kujenga hoja?

    Zitto Kabwe & Magufuli
Back
Top Bottom