mimi ni civil &God servant nimekopa benk nafanya biashara zangu tu sihitaji mkopo kwasasa.Niliwahi kuona mjamaa mmoja inachukuliwa harrier yake kwakushindwa kulipa ml.5 ,ikalazimika waumini wenzake tumchangie ili kuinusuru mali yake.Tulipofuatilia tukagundua kuwa yule mtu ndiyo ulikuwa mchezo wake kukopesha pesa kwa wenye uhitaji huku wakiweka rehani za mali zao then hufunga kishirikina kipato cha mtu ili mdaiwa ashindwe kukomboa mali yake kisha huiuza kwa faida kubwa. Harrier aliyoitumia kwa mwaka mmoja ilitaka kupotea kwa ml.5