Ushauri: Nchi gani ya Ulaya ni rahisi kupata visa na kazi?

Wadau mimi nahitaji kwenda Ulaya kutafuta maisha, nauri ninayo hivo naombeni ushauri kwa anaefahamu nchi gani in Europe ina urahisi wa kupata kazi yoyote pia urahisi wa visa pia mahari pa kufikia ????? Wadau naombeni msaada wenu kwa anaefahamu.
Nenda nchi za Scandinavian...

Kati ya Sweden, Norway au Denmark.....

Utapata kazi kama utajua kuongea lugha...........
 
Wadau mimi nahitaji kwenda Ulaya kutafuta maisha, nauri ninayo hivo naombeni ushauri kwa anaefahamu nchi gani in Europe ina urahisi wa kupata kazi yoyote pia urahisi wa visa pia mahari pa kufikia ????? Wadau naombeni msaada wenu kwa anaefahamu.
Kaka elimu hiyo inatosha na ndiyo niliyonayo mimi. Nenda na ukifika huko usichague kazi.
 
Nenda nchi za Scandinavian...

Kati ya Sweden,Norway au Denmark.....

Utapata kazi kama utajua kuongea lugha...........
Hii ni kweli kabisa ila hapa swala sio nauli tuu inatakiwa uandae fungu la kutosha, at least mil. 5 hapa unaweza kujiachia kabisa kuhusu kazi zipo nyingi unless uwe mchaguzi wa kazi, cha muhimu ni afya bora na kujituma that's all. You better die trying mkuu kuliko kulia na serikali ya Magu
 
Nakushauri kwa dhati ya moyo wangu. Jifunze udreva wa tax na mabasi kisha nenda Doha ama Dubai kafanye kazi ya udreva. Nafasi ni nyingi sana. Nchi hizo zimeendelea sana pia wageni ni wengi sana. Miaka ya hivi karibuni Ulaya pamekuwa si mahali pa kukimbilia. Nafasi za kazi hakuna na si kama zamani. Kwa zaidi njoo inbox nikushauri. Kuna jamaa zangu kadhaa wako huko watakupokea.
 
Safi sana mkuu kwa ushauri mzuri kuhusu driving niko vizuri but kwa gari ndogo za auto, pia kuhusu lugha niko vizuri pia
 
Back
Top Bottom