Ni mwanasiasa yupi mahiri kwa kujenga hoja?

1. Zitto
2. Tundu Lissu
3. Bashe
4. John Heche
5. Kafulira
6. Anna Mghwira
7. Mwigulu
8. Polepole
9. Hashim Rungwe
10. Halima Mdee
 
Mwana JF,mi naomba kujua ni Mwanasiasa yupi Tanzania ambae ni mahiri kwa kujenga hoja.
Hakuna aliye bora wala mahiri.. Inategemea hoja yake inalenga nini kwa watanzania?? Kila mtu ana hoja nzuri kulingana na nafasi yake alipo...
 
Back
Top Bottom