Recent content by Mutabora

  1. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anzia uwanja wa ndege Bukoba

    karibu bukoba mh Waziri Mkuu Mjaliwa kesho jpili kabla ya kuzindua mradi binafsi wa maji ya kunywa tuzindulie jengo la kisasa uwanja wa ndege ambalo ni kodi ya wananchi na kazi nzuri aliyofanya BaloziKagasheki.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Kagera Boda boda wanahitaji maelezo na sio vitisho

    Nimejulishwa leo mji wa Bukoba umezungukwa na magari ya polisi kuwatisha bodaboda juu ya madai ya kila pikipiki kukamatwa na kulipishwa elfu sitini bila maelezo hata kama haina makosa.Inasemekana leo walitaka kugoma na pengine kuandamana.Dawa sio vitisho wapeni maelezo hizo elfu sitini kwa kila...
  3. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowassa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano na wanahabari Ikulu wasogezwa hadi saa 8 mchana!

    Sijui nitakuwemo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanapa wazindua tuzo kwa maalum kwa ajili ya waandishi wa habari hapa nchini

    LIBENEKE LA KASKAZINI Hizo tuzo zilishatolewa au ilikuwa nguvu ya soda
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM wadhalilishana Bukoba

    Ugomvi wa Kamukala na Meya wa Bukoba unajulikana tangu mwaka juzi aliponyimwa fedha na Meya eti kumfichia kashifa ya shule za Amani kwa madai ya kutapeli wazazi.Mshiko alinyimwa na habari akaandika tangu wakati huo amejipambanua kama mhariri mwenye njaa anayelamba miguu ya Kagasheki
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Profesa Tibaijuka yazima hoja ya Kagasheki

    Kwa jinsi ulivyo na 'mahaba'kwa Kagasheki bila shaka mkono wake uko kwenye dawati lako.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Chadema walivyouteka mji wa Kyaka uchaguzi wa Jumapili

    CDM imeibuka na ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa jana kwa habari zaidi tembeleaBUKOBA PAMOJA BLOG
  9. M

    JamiiForums Tanzania Abiria afariki ndani ya Mohamed Trans

    Abiria aliyetambuliwa kwa majina ya George Onesmo amefariki ndani ya basi la Mohamed Trans namba T642 lililotoka Dar kuelekea Bukoba. Mwili umehifadhiwa hospitali ya mkoa wa Kagera na marehemu amepatwa na mauti kati ya mji wa Kahama na Chato. Kamanda wa Polisi Henry Salewi amesema...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete aacha gumzo Muleba

    Sorry hii sio tetesi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete aacha gumzo Muleba

    Muda mfupi uliopita rais Jakaya Kikwete amehudhuria mazishi ya Mbunge wa kwanza wa Muleba David Bakanyoma Zimbihile(80) katika mtaa wa Bugombe kata ya Muleba akiwa na My wife wake.Kinachojadiliwa hapa Muleba ni kuondoka kimya kimya bila kuzungumza chochote juu ya huyo mpigania uhuru. Wengine...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kagasheki ajibainisha yupo upande Gani wa Gamba ndani ya CCM

    Naibu wa mambo ya ndani Khamis Kagasheki amesema CCM haiwezi kujisafisha kwa wananchi kwa kung'ang'ania Chenge na Lowassa kufuata mkondo wa Rostamu Azizi. Ameyasema hivi punde katika mkutano na wananchi wa Bukoba maeneo ya soko kuu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wetu wa zamani Muleba ametutoka!

    Mbunge wa kwanza wa jimbo la Ihangiro sasa Muleba Kusini David Bakanyoma Zimbihile amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospital moja jijini Dar.Kwa mujibu wa mtoto wake ambaye ni katibu wa vijana wa CCM Bukoba Vijijini mipango ya kumsafirisha inafanyika.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Majina ya Kihaya ya kike

    Pia waweza kumpa jina la Teshasha
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Kikwete Balaa! Ma DC wote wavuliwa viatu Bukoba Airport

    Ukiwa na rais anayeamini zaidi nguvu za giza,mambo haya ni kawaida katika ziara zake.Wakazi wa Bukoba walimkataa katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana.Alizidiwa kwa mbali na Dk wa ukweli.
Back
Top Bottom