Recent content by Mustymosha

  1. Mustymosha

    Upendo Peneza: Nahitaji kushinda na nitashinda

    Gud lick kamanda..
  2. Mustymosha

    Kwa upepo ulivyo Upendo Peneza atawashinda vijana hawa

    Mwanadada uyo ni jembe, much respect nd namuelewa xana kwa kaz..
  3. Mustymosha

    Lissu ni mwanasiasa wa kwanza wa upinzani kuandika historia ya kuzomewa UDSM Nkurumah hall

    Nan kasema n wanafunz wa chuo walokua wakizonea, chunguza na ufatilie kwa ukaribu zaid midahalo mingi..me a hate tabia yakuwakod watu na kuwachukua kwe coaster eti kuwapa support at the end wanatambulika kuwa wanachuo. Jaman tusidanganyike, nilikuwa eneo lile na niliona yalioendelea so stop...
  4. Mustymosha

    Fedha za field zimekuwa majanga !

    Weee unekaa chini nankubisha juu ya malipo hayo ufikirie sana, kwanza fedha iz tunakopeshwa sio kupewa kwaiyo ni zetu na baadae lazima ziludishwe so pliz guyz u mist understand that... Juu ya suala la matumiz ni la mtu binafsi na hustaili kuingilia suala ilo.....
  5. Mustymosha

    Asante Mbunge Joseph Mbilinyi (Sugu)

    Kwan mnabishana nin, em anayejua kaz za mbunge katika kufanikisha maendeleo afunguke then tujue kama mpangilio na maendeleo ya wana Mbeya ni mkono wa Sugu au vp??
  6. Mustymosha

    Kuna kosa lisilosameheka

    Kama ni kweli hayo usemayo basi inafika wakat binadam tuwe na huruma kwan mwenye maamuzi yakuhukumu ni Mungu tuu aliye juu, kwa maon yangu ni kwamba Diamond amsamehe tuu mzee kwan iki pia ni kipindi cha mwez mtukufu wa ramadhan hivyo ni fursa pekee yakusamehana na kupendana mengine tumuachie...
  7. Mustymosha

    Dr. Slaa, hivi umezoea uongo au umejisahau!?

    Unqulified prevelage Ni lugha yakisheria ilomruhusu kafulila kuyaongea maneno hayo....
Back
Top Bottom