Tena sugu hajui lolote linaloendelea mbeya, ccm inakesha kuhusu kuboresha miundo mbinu!!! Sugu mpangaji hatumuitaji tena hapa mbeya
wewe na nani?koroboi wewe!
Tena sugu hajui lolote linaloendelea mbeya, ccm inakesha kuhusu kuboresha miundo mbinu!!! Sugu mpangaji hatumuitaji tena hapa mbeya
Mpangaji? poa lakini hata mwenye nyumba huwa anaishiwa na kumkopa mpangaji, akishindwa kulipa humuachia mpangaji akawa ndio mmiliki wa nyumba.Tena sugu hajui lolote linaloendelea mbeya, ccm inakesha kuhusu kuboresha miundo mbinu!!! Sugu mpangaji hatumuitaji tena hapa mbeya
CHADEMA haitapata tena jimbo la Mbeya mjini! Sugu ndio wa kwanza na wa mwisho!
CHADEMA haitapata tena jimbo la Mbeya mjini! Sugu ndio wa kwanza na wa mwisho!