Recent content by mustafa44

  1. M

    JamiiForums Tanzania Epuka tapeli anayejifanya anaingiza channel za Azam Tv kwenye king'amuzi cha Startimes

    Tatizo watanzaniaa tumezoeaa vya buleee hayo ndiyo matokeo yke
  2. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC 2 - 1 Yanga SC: Shiza Kichuya aibuka shujaa wa Simba

    Umeona
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo mpaka naingia kaburini sitamuamini tena mwanamke

    Sikucheki wala sikulaumu hyo ipo na nimeishuhudia sana kuna bint mmoja yupo ujeruman ndiyo zake unamlipia clubs unamnunulia biaa ikifika muda wa kucheza nae anakutukana anakufanyia fujo kama akujuiii
  4. M

    JamiiForums Tanzania Alichokisema Lissu juu ya kesi ya Wema

    Mtoaa mada ulimsikiliza Steven nyerere kwenye audio zake zote na mama wema na akatoaa ushahidi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na mama yake wahamia CHADEMA kutoka CCM

    Baada ya audio zao kuvujaa ndyoo wanaongeaaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na aina hii ya usajili unaofanywa na Mwenyekiti wangu Freeman Mbowe

    Kweli mtoaa mada kumbuka ni wasanii wangapi tulikuwa nao begaa kwa begaa kwenye kampen zetu za ,chadema Leo hii nusu mzima wametukana na wamelejeaa ccm naamin hata hyu atalejeaaa tu. Ccm mboe amka baba achana na hawa vibalakaa
  7. M

    JamiiForums Tanzania 2020 Ni Mbali halafu si Mbali. Tutakija Kushtuka kumekucha zaman kunaelekea jioni

    Ccm inajuaa kucheza na akili za watu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mafuriko ya Mbeya "Sugu" Mkutanoni Leo hii

    Mbona hakuna umati wa kutisha
  9. M

    JamiiForums Tanzania Makonda kumbuka kuna kesho

    Wanao mpinga makonda inaonekana wote watumiaji na makontena kwa nn jambo kama hili tusimuunge mkono au unaona raha unavyowakuta vijana balabalan wakisinzia huku wamesimama plz tuunge mkono swala hili tuache siasi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wengine wametajwa, wengine wamefanywa siri, haki na usawa viko wapi hapa?

    Mmeshasahauu juzi tu mlikuwa mnamshtumu kuwa hana mamlaka ya kuwataja viongozi wakubwa sio jukumu lake Leo kaacha amemkabidi kijiti mtu mwingine mnamlaumu sss watanzaniaa tunaakili gani ss jamni
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Sheria ya Jamhuri inayompa RC nguvu ya kumuita mwananchi yeyote anayeishi mkoa wake!!

    Inaonekana humu ndan wengi zoezi hamjalipenda analofanya mh makonda mnatafuta kila njia kupinga hili zoezi lisitishwe alafu baadae muanze kusema walishindwa baada ya kumpa nguvu mnanyongonyeza tena mnponda sijapenda kama mtanzania ingawa nipo mbali na Tz tubadulike ndugu zangu nimeona...
Back
Top Bottom