Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,010
Wakat tunakimbizana na Vitoto vidogo vinavyosemekana kuwasema vibaya watu flan.... Wakat tunakimbizana na kuwakomoa watu flan...muda hautusubiri. Wakat siku zote una tatizo hilo hauna subra. Wakat haujali mtu au watu. Wakati huwezi pambana nao. Wakat si ukuta wakati ni hewa.
Wakati tunapambana na mtu flan siku zinaenda sana. Siku zinakimbia. Tukija kushtuka muda umeenda sana. 2020 si mbali hata kidogo. Ni karibu sana kwa wenye pesa na wenye uwezo.
2020 kwa wenye dhiki ni mbali sana.wana miaka mingi ya mateso. Usiku kwa mwenye njaa huwa mrefu kwa mwenye shibe mfupi sana.