Habari wadau. Nina kazi ya kushona uniform za wanafunzi. Cherehani ninazo ila nahitaji mafundi wenye uwezo wa kushona. Dondoo za kazi ni zifuatazo;
1. Uniform ni za kike na kiume. Za Kike ni Gauni au Blauzi (Top) na Suruali na za kiume ni Suruali tu
2. Kazi inafanyika KIMARA DSM
3. Nahitaji...
Wadau jukwaa la KENYA natafuta WAKENYA 2 nafasi ya usimamizi wa kituo cha kupiga simu kwa wateja. Kazi zake ni kama zifuatazo
1. Kusimamia timu ya upigaji simu ili kuhakikisha kazi inafanyika kwa ufanisi
2. Kuongoza timu ya upigaji simu kulingana na Utaratibu na malengo ya Taasisi
3. Kusimamia...
Wadau natafuta msimamizi wa kituo cha kupiga simu kwa wateja. Kazi zake ni kama zifuatazo
1. Kusimamia timu ya upigaji simu ili kuhakikisha kazi inafanyika kwa ufanisi
2. Kuongoza timu ya upigaji simu kulingana na Utaratibu na malengo ya Taasisi
3. Kusimamia na kuongoza vikao vya kila siku vya...
Habari wadau. Napenda kujuaa majina ya Vituo vya radio vinavyosikilizwa sana Mikoani na vinafaa kutuma matangazo. Mikoa ninayoitarget ni hii
1. Morogoro
2. Tanga
3. Moshi
4. Arusha
5. Babati
6. Tabora
7. Mbeya
8. Iringa
9. Mara
10. Katavi
Asanteni
Habari Jukwaani. Tunatafuta Muhasibu mwenye level ya Degree kwa ajili ya kazi za Kihasibu. Maomba yanaweza kutumwa mwenye email csmsola@gmail.com au Kwa whatsup number 0713664912. Hakikisha umeambatanisha CV na Vyeti. Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 15 November. Karibuni
Habari. Natafuta Marketing Offier kutoka Kenya (Awe Kenyan). Sehemu ya Kazi ni Dar-es-salaam. Qualification ni Bachelor in Marketing with 3 years of experience. Most awe dedicated and results oriented Reach me through email csmsola@gmail.com or Whatsup Number +255713664912
Kichwa cha habari kinajieleza.
Nahitaji msaada huo kwa mtu mwenye uwezo wa kuandika bussiness plan pamoja na hesabu kwa ajili ya kuombea mkopo anitafute. Nitumie ujumbe kwa namba 0713664912 au Whatsup message kwa namba hiyohiyo.
Barabara isikutishe kiongozi. Eneo Lipo nje ya road reserve kabisa. Wilaya ni Gairo na Kong wa. Mpwapwa yes ni wilaya ya Dodoma lakini ipo mbali kidogo. Karibu inbox coordinates na specific details tutashare. Eneo bado Lipo karibuni wadau Cc Chillah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.