Recent content by must be

  1. must be

    Ushahuri wa kozi za kujaza kwa wadogo zetu 2020/2021

    Hapo inabidi kutuliza akili maana ukikimbilia u udaktari tu ...ukishakosa imekula kwako..vyuoo vya Doctor of medicine kimeongezeka St Fransis Ifakara.muhimbili,KCMC ,UDOM,BUGANDO,KAIRUKI,SY JOSEPH...KAMPLA WAMEPIGWA PIN MEDICINA wamefunguliwa Pharmacy
  2. must be

    Ushahuri wa kozi za kujaza kwa wadogo zetu 2020/2021

    kwa wanaohitaji kujiunga na vyuo..kwa waliosoma Science inabidi kuwa makini Sana'a...baada ya TCU kushusha..vigezo vya GP na point...wengi watakimbiliaa kuomba u doctor na pharmacy matokeo yakee watakosaa ...wakirudi kupanga tena ...wanakuta nafasi zilizobaki in Education tu.
  3. must be

    Jinsi ya kujisajili na PSSSF kwa watumishi waliotoka mifuko mengine

    PSSSF Member Portal nimejaribu kutumia link hiyoo kujaribu kujisajili ili niweze kujuaa taarifa zangu, sijafanikiwa. Msaada kwa anayejuaa jinsi ya kujisajili
  4. must be

    Maombi ya chuo St Fransis Ifakara

    Tutajulishwa wanasubiri uhakiki wamwisho, Dosari zilizo kuwepo mwanzo wameshazirekebisha.
  5. must be

    Majina ya Mikopo chuo cha St John

    Hongera ndugu ,pamoja karibu tena ,sjut
  6. must be

    Maombi ya chuo St Fransis Ifakara

    Uhamie mwaka wa ngapi maana huku kuna mwaka wa pili ,wa tatu, wanne na watano
  7. must be

    Majina ya Mikopo chuo cha St John

    Leo tar 27 febr majina mengine ya mikopo yamebandikwa chuo cha StJohn ,Majina ya watu mia hamsin150 ya walio Appeal ; Kwa tulio Fanya Appeal tusikate tamaa majina mengine bado yanatoka.
  8. must be

    Maombi ya chuo St Fransis Ifakara

    Maombi yote yanapitia nacte
  9. must be

    Maombi ya chuo St Fransis Ifakara

    Tumia link kufanya maombi siku zimebaki chache sana
  10. must be

    Maombi ya chuo St Fransis Ifakara

    To all who are interested in pursuing Certifcate in Medical Laboratory Sciences, Certificate in Pharmaceutical Sciences, Diploma in Medical Laboratory Sciences and Diploma in Pharmaceutical Sciences, you can now apply for the program of your choice through NACTE, www.nacte.go.tz OR...
  11. must be

    TCU yatoa ufafanuzi kuhusu uhakiki wa wanafunzi

    Heri imekuwa hivyoo Maana mambo yangekuwa magumu
  12. must be

    TCU yatoa ufafanuzi kuhusu uhakiki wa wanafunzi

    Kwa wanavyuo ambao majina yao yapo kwenye tangazo la TCU wametakiwa kutokua na hofu [ Msemaji mkuu wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Edward Mkaku ametoa ufafanuzi kuhusu tangazo lililotolewa na Tume hiyo kuhusiana na udahili wa wanafunzi wa vyuo vikuu, amabapo majina na idadi ya wanafunzi...
  13. must be

    Ambao hawana sifa kwa mujibu wa TCU wanatakiwa wafanye yafuatayo

    Wale ambao majina yao yametolewa na TCU kwamba hawana vigezo ,hata kama ulimaliza chuo, cha kufanya ni kwenda chuo ulichosoma ukiwa na vyeti vyako vyote Kidato cha Nne Kidato cha sita Kama ni kutoka Diploma (equiv) Cheti cha Diploma Transcript Pamoja cha kidato cha nne Na sita kama ulikitumia...
  14. must be

    Nyimbo gani nzuri za kusikiliza ukiwa na maumivu ya kuachwa?

    [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Back
Top Bottom