Mungu ni mwema nimepata na nilikuwa home tayari narudi sasaLeo tar 27 febr majina mengine ya mikopo yamebandikwa chuo cha StJohn ,Majina ya watu mia hamsin150 ya walio Appeal ; Kwa tulio Fanya Appeal tusikate tamaa majina mengine bado yanatoka.
Amen tumahukuru Mungu kwa yoteMungu ni mwema nimepata na nilikuwa home tayari narudi sasa