Mipango yangu ilikuwa kuoa mzungu lakini nimeisitisha

must be

Member
Oct 6, 2014
84
28
Mipango yangu ilikuwa ni kuoa mzungu.. Nimeisitisha kwa sababu moja kubwa.. Raha ya ndoa ni umbea.. Kabla ya kulala mnaanza kumsema jirani wa kwanza.. Jirani wa pili.. Bosi wako halafu mnafanya tendo kisha mnalala... Nikioa mzungu haya hayawezekani.. Umbea na kizungu wapi na wapi?
 
Mkuu ushawahi kuwa nao hao wazungu karibu? Naweza kusema wazungu wambea kuliko hata waswahili manake hukupa mpaka mambo yao ya ndani. Mzungu huanza kukuhadithia mambo yake halafu huja ya bosi wake na shoga zake mpaka familia yake. Na ukiondoka tu anaanza kukusema wewe sema wapo wepesi kuomba radhi. Lakini mswahili roho mbaya ndio anaongoza zaidi ya mzungu, kuomba radhi ni wachache sana.
 
Rafiki yangu anafanyakazi hospitali moja huko ulaya, alikuwa na bill ya credit card kulipia, alipofika bank foleni hivyo alichelewa kwenda kazini, amefika kazini wagonjwa walishafahamishwa kuwa wawe na subira kuna shortage of staff, basi amefika akiwa anathema, mgonjwa wa kwanza kumuona alimwambia sababu ya yeye kuchelewa kazini, si ametoka kwenye consultation room akawaambia wote waliokuwa wanasubuiri kuwa dr. alikwenda kulipa bill ya credit card. Aliniambia alijifunza hapo ni nini cha kushare na ku hold on akiwa na wagonjwa.
 
Wale watu hawana siri, anaweza kukuelezea mambo yake yote yanayoendelea katika maisha yake! Hawana mipaka wale!
 
Huyo shoga wako yupo UK? Kuna rafiki yangu mkewe ni doctor pia UK lakini ana credit card debt hatari. Pia sijawahi kusikia kama watu wanalipia credit card bills bank isipokuwa hutuma kwa njia ya Posta. Au mimi sijafahamu
 
Kuna mzungu mmoja huyo alikuwa anatuonesha picha za mwanamke wake. Kila akinyoa nywele za chini Halafu wale wanene ndio acha kabisa ukiwa gegeda tu basi kazini mpaka fb, insta na twitter watajua wote.
 
Ndoto ya waafrica wengi ni kuolewa/kuoa wazungu wakati race zingine zote duniani huamini wao ni superior na huoana wao kwa wao.

Wafrika huamini kuoa/kuolewa na race tofauti ni upgrade ila race zingine huamini ni downgrade.

Waafrika huamini kuita watoto wao majina ya kigeni au kutumia kizungu kiasi fulani kutawafanya waonekane wazungu au wajanja ila race zingine huamini katika majina na lugha zao na wagumu sana kutumia majina ya kigeni. And you wonder why racism exists, inferiority complex waliyonayo watu weusi ipo damuni
 
Huyo shoga wako yupo UK? Kuna rafiki yangu mkewe ni doctor pia UK lakini ana credit card debt hatari. Pia sijawahi kusikia kama watu wanalipia credit card bills bank isipokuwa hutuma kwa njia ya Posta. Au mimi sijafahamu
Unaweza kulipia kwenye bank yako kama bills nyingine.
 
"Toka mdogo nilikuwa na ndoto kuishi kitajiri kama John kaboko hata mbuyu ulianza kama mchicha Nina imani nami nitafika".
 
Hata mie nadhani ni wambea. Hebu angaliwa wagombea urais wa Marekani wanavyoumbuana.
 
Wewe ctisha tu Ila mimi mpango wngu lazima nitimize kakazangu wanne ameoa wazungu ,lazima na mimi nioe white
 
Mipango yangu ilikuwa ni kuoa mzungu.. Nimeisitisha kwa sababu moja kubwa.. Raha ya ndoa ni umbea.. Kabla ya kulala mnaanza kumsema jirani wa kwanza.. Jirani wa pili.. Bosi wako halafu mnafanya tendo kisha mnalala... Nikioa mzungu haya hayawezekani.. Umbea na kizungu wapi na wapi?
Shilawadu.com wanaume wa Dar mnatusikitishaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom