Ambao hawana sifa kwa mujibu wa TCU wanatakiwa wafanye yafuatayo

must be

Member
Oct 6, 2014
84
28
Wale ambao majina yao yametolewa na TCU kwamba hawana vigezo ,hata kama ulimaliza chuo, cha kufanya ni kwenda chuo ulichosoma ukiwa na vyeti vyako vyote
Kidato cha Nne
Kidato cha sita
Kama ni kutoka Diploma (equiv)
Cheti cha Diploma
Transcript
Pamoja cha kidato cha nne
Na sita kama ulikitumia ukivyoomba chuo.
Chuo husika wanavichukua na wanawaandikia Tcu kusibitisha uhalali wako.
Mwisho tar 28 febr
 
Wale ambao majina yao yametolewa na TCU kwamba hawana vigezo ,hata kama ulimaliza chuo, cha kufanya ni kwenda chuo ulichosoma ukiwa na vyeti vyako vyote
Kidato cha Nne
Kidato cha sita
Kama ni kutoka Diploma (equiv)
Cheti cha Diploma
Transcript
Pamoja cha kidato cha nne
Na sita kama ulikitumia ukivyoomba chuo.
Chuo husika wanavichukua na wanawaandikia Tcu kusibitisha uhalali wako.
Mwisho tar 28 febr
huu u.pu.mba.vu wa kutaka na wao wandikwe kwenye magazeti unaleta usumbufu.
*vyuo vyote vina nakala za vyeti vya wanafunzi wao, hivyo vyuo husika ndio watume taarifa tcu na sio kumsumbua mhitimu.
*pia TCU iko chini ya wizara ya elimu. kama wamepoteza dada za mwanafunzi kwanini kwanini wasishirikiane na wenzao waliochini ya wizara ya elimu ambao ni NECTA na NACTE kupata matokeo ya wanafunzi, kuliko kumsumbua mwanafunzi?
*kwanza kama wwamepoteza data, kwanini majina yenyewe hawajapoteza? waache ubabaishaji
 
Kikubwa hapa ni usumbufu uliokithiri. Imagine umemaliza na umerudi kwenu mf. Namibia halafu unakumbwa na hili seke seke utrudi vipi Tanzania na hayo mavyeti ambayo kwanza uliwakilisha ili usajili. Viva TCU viva Tz
 
Dah sipati picha iyo foleni itakayokuwepo utawala wa UDSM mana wasio na sifa ni wengi wana weza wakatengeneza timu ishirini na kuanzisha ligi.
 
Back
Top Bottom