Recent content by mussajuma

  1. mussajuma

    JamiiForums Tanzania Kumbe Wabunge wengi wa CHADEMA hawana Elimu ya Juu Kabisa!

    Umedanganywa hebu waambie wakupe data za ukweli usipende kuropoka ropoka na kupost upuuzi
  2. mussajuma

    JamiiForums Tanzania Mbowe aacha mpasuko CHADEMA Bukoba kwa kumuunga mkono Kagasheki

    Kwa mtazamo wangu mdogo sioni madhara ya hotuba hiyo chadema ina madhumuni ya kupinga ufisadi kama yuko kiongozi yeyote wa ccm anayepinga ufisadi hatuna budi kumuunga mkono kwa sababu tunashaabiana malengo..
  3. mussajuma

    JamiiForums Tanzania 2015 vijana twendeni na january makamba kuwa rais

    Msimdanganje January Makamba hafai hata kuwa mwenyekiti wa kitongoji
  4. mussajuma

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa waziri wa mambo ya ndani? andika jina hapa chini bila chuki...

    Nadhani Prof Maji Marefu anafaa zaidi
  5. mussajuma

    JamiiForums Tanzania Pongezi Dr. Kitila Mkumbo

    Sifa ya kuwa dr ni kufikiri na ndiyo maana kakaa kimya lakin hao wezake fikra zao ni finyu na uchu wa madaraka ndiyo unaowasumbua
  6. mussajuma

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wanne kujiuzuru

    Mawaziri wote mzigo hao mnawaonea tu
  7. mussajuma

    JamiiForums Tanzania Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Kweli Mwigulu kaishiwa sera hana cha kutuambia zaidi ya mahusiano ya watu binafsi hakika kwa Mwigulu huu ni umbea tuambie sasa na alilala nae gesti gani
  8. mussajuma

    JamiiForums Tanzania Tamko la Mwigamba la uchakachuaji wa katiba ya CHADEMA na ombi kwa msajili wa vyama kuchukua hatua

    Acha kuangaika na chadema hawakutaki tafuta chama kingine ukaendeleze usaliti wako
  9. mussajuma

    JamiiForums Tanzania Slaa adharirishwa Kigoma Kaskazini jioni hii. Akimbia mkutano

    Huna hoja acha kupost upuuzi hueleweki hata unazungumzia nini?
  10. mussajuma

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya umma imewageukia mafisadi wa CHADEMA, oparesheni timua Slaa na Mbowe iendelezwe

    Kama chama hakiko sawa hama chama
  11. mussajuma

    JamiiForums Tanzania Mtikila: Kuna CHADEMA MBILI - 'CHADEMA Chumbani' na 'CHADEMA Sebuleni'

    Mbona chama chake hakuna anayemuuliza mapato na matumizi na mbona kama chama chake kinatenda haki mbona hana wafuasi zaidi ya hamsini cha zaidi kumuweka mkewe kama katibu mkuu sasa anataka kuongelea nini chadema
  12. mussajuma

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Nataka kurithiwa na rais kijana!

    Ni kweli kabisa
  13. mussajuma

    JamiiForums Tanzania CDM,tumwondoe zitto,tukijenge chama.

    Naunga mkono hoja futilia mbali mamluki huyo
  14. mussajuma

    JamiiForums Tanzania Nje ya siasa hawa akina Lema, Wenje, Mnyika, Slaa and co. si watakufa njaa!?

    Kama huna ya kuongea ni afadhali ukae kimya kama walimu wa chuo nduyo kama wewe basi hukuna vyuo tena walimu wanaoongee upuuzi kama wewe ni janga la kitaifa
  15. mussajuma

    JamiiForums Tanzania Majanga UDSM:Zaidi ya wanafunzi 500 wamedisco katika mwaka wa masomo 2012/13

    Msiwasikitikie tatizo ni TCU kupeleka wanafunzi wasio na uwezo wanajua wanawasaidia kumbe wanawaangamiza
Back
Top Bottom