Recent content by mussahk

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Commercial deep freezer

    Naitaj deep Frizer 6ft..
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Commercial deep freezer

    Kk naeza pata 6ft deep frizer
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo: Madini ya Ruby na soko lake nchini Msumbiji

    Nenda kauze kwa wa Thailand. .
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nilichojionea Msumbiji; Ile sio nchi, ni genge la wahuni wanaonyanyasa waafrika

    Ww umesahau kama msafiri kafiri.....unatakiwa uwe na ujuzi wa kuwaelewa watu..unazan rushwa yao kubwa..ungewapa hata cee tu..100mt..ni sawa 5000...hawana shida..na pia usiwe mjuaji...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Ushauri naitaj..nmepata nafas ya kujiunga na open university kusomea masters of science in economics by executive module..ila baadhi wanaponda elim ya OUT.so kwa mwenye uelewa wa kiusomi..naomba anipe ushaur.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Gemstone business

    Red garnet..naomba soko l Kujua soko lake...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu Power Bank

    Aisee..ninaitaj pbank..zaid ya 30000mah..pls km unayo..ni pm..naitaj sn.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada tatizo la simu Samsung s4 Kupata moto

    Ukisoma menu..inasema ikipata moto toa battery...ila km ni og..battery haiez tuna..so iyo battery uliwekewa sio naic..
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hii filamu ya Kichina TBC ni nzuri Sana !

    Iko poa..tatizo tangazo cjui limetokea wap..na bora tangazo lingekuwa fupi..lingependeza..
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo: Madini ya Ruby na soko lake nchini Msumbiji

    Hii safi..japo kujua inasaidia
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo: Madini ya Ruby na soko lake nchini Msumbiji

    Kk..vipi kuhusu kutoka kwa mawe..pia nmeskia sa iz police wanashusha kichapo hevi..kwenye eneo la machimbo...ss sijui ndo inakuaje
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo: Madini ya Ruby na soko lake nchini Msumbiji

    Kwa motpwez town..hakuna hao buyers hadi kufika huko machimboni..
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo: Madini ya Ruby na soko lake nchini Msumbiji

    Soko la tz..linakuwaje kwa fine ruby...coz others wasema mozambique ndo wanapay gud..tupe mwongozo mkuu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwongozo: Madini ya Ruby na soko lake nchini Msumbiji

    Umekubalika mkuu..ila hapo kwenye misosi...panya na konokono itakuwa shedaa...
Back
Top Bottom