Mwongozo: Madini ya Ruby na soko lake nchini Msumbiji

Mwongozo: Madini ya Ruby na soko lake nchini Msumbiji

Kk..vipi kuhusu kutoka kwa mawe..pia nmeskia sa iz police wanashusha kichapo hevi..kwenye eneo la machimbo...ss sijui ndo inakuaje

yanatoka mpwa jana timetuma kg 98 hongkong

kila kilo dolla 400 mpaka 500
 
Mkuu suala la kuteketeza familia, nimelitumia kama mfano, kwasbb watu wengine upenda kwenda kwa waganga, kwa bahati mbaya waganga hao uwapa masharti ya kutoa mtu ampendaye kama kafara. wengi wetu wameumia sn katika hili. ukubali kula viapo ila badae ushindwa kutimiza mashart. nadhan umenielewa. suala la pesa za kuanzia siwezi kulizungumzia sana kwa sabb kila mtu ana mtaji wake. ila kwa dondoo ni vyema mtu anayefanya ublocka kama nguvu ni ndogo sana angalau 1,000 dollar kwa kuanzia,kumbuka jiwe ni aidia siyo mtaji mkubwa sana kama watu wafikiriavyo.

Kwa kupeleka Thailand ni wewe kulitathimini jiwe pesa unayo weza kuipata kwa kuuzia uko, baada ya apo tuo gharama za nauli ya ndege na zinginezo. ukiona faida hipo ila ni ndogo ni bora ukauza hapa apa tz au mutopwezi. ila watailand wa Mutopwezi wengine wananunua kwako wanaenda kuuza Thailand kwa hela nyingi.

Mkuu@Felex Umezungumzia namna yakusafirisha Thailand vipi km mtu anataka kurudi nazo bongo khs Mpakan manake inaonekana Askari wa huko ni wapekuzi sana pia Kwa mtu ambae ni mara ya kwanza Anatakiwa anunue kwa bei gani.ilia apate faida,,,,Mwisho utaijuaje RUBY ya KWELI nayauongo,,,,Natanguliza Shukrani,,,,
 
Biashara za wenzetu duh! Hakuna dhuluma wala nini, na kwa maelezo hayo we ukustahili kuwa mmachinga bali lekchara
 
Guys na ruby 13 carats rough stones toka Madagascar. Wasiliana Nami on whatsapp 0755204020

Mkuu mwenzio Felix katoa darsa zuri mno bila uchoyo na kina watu wanaweza yafanyia kazi. Nakushangaa wewe mkuu unakimbilia WhatsAAp, cha kufanya changia unachojua watu wanufaike.
 
Last edited by a moderator:
mkuu Felix nawezapata namba yako private? nimekuwa very interested na biashara hii.
 
Kwa Wale wadau /wafanyabiashara wa ruby..
Ruby ya Kutoka kilindi,tanga inatakiwa quality high caboshon,size grm 1 na kuendelea grm 1 ni 10000/ ...kama kuna mtu Ana mzigo ani pm au tuwasiliane....0715591141

Ova
 
Huko Kabdrigado...Mutopwezi...Nanyupu hali ipoje kwasasa,km utaweza kutu update kdg
 
Ndgu
Tunaomba mwongozo wa Madini ya Dhahabu
Natikiria kuanza biashara hiyo
Nitakua nayatoa Kahama
Kupeleka Thailand
WhatsApp 0652881000
 
Back
Top Bottom