Naomba kufahamishwa kuhusu Power Bank

Naomba kufahamishwa kuhusu Power Bank

Raaj

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2013
Posts
205
Reaction score
29
Ndugu wana JF,

Nimenunua vodafone smart 4-min ila sijapenda kwasababu haikai na chaji kwahiyo naomba kuuliza je power bank zinapatikana hapa Tz na je ninunue yenye ukubwa gani kwaajiri ya hii simu yangu

Asanteni kwa ushauri wenu.
 
Ndugu wana jf nimenunua vodafone smart 4-min ila sijapenda kwasababu haikai na chaji kwahiyo naomba kuuliza je power bank zinapatikana hapa Tz na je ninunue yenye ukubwa gani kwaajiri ya hii simu yangu
asanteni kwa ushauri wenu

Ikiwezekana nunua yenye ukubwa wa kuanzia mah 10000 na zaidi.
 
Ndugu wana jf nimenunua vodafone smart 4-min ila sijapenda kwasababu haikai na chaji kwahiyo naomba kuuliza je power bank zinapatikana hapa Tz na je ninunue yenye ukubwa gani kwaajiri ya hii simu yangu
asanteni kwa ushauri wenu

Nenda Kariakoo zipo kila aina ya ukubwa unaoutaka, mimi juzi nimejipatia mah 15000 kwa 45000/=

Zipo za bei chini ya hapo kulingana na ukubwa wa power bank.
 
Nenda Kariakoo zipo kila aina ya ukubwa unaoutaka, mimi juzi nimejipatia mah 15000 kwa 45000/=

Zipo za bei chini ya hapo kulingana na ukubwa wa power bank.

Na unaweza kucharge simu mara ngapi kwa kutumia power bank?
 
Na unaweza kucharge simu mara ngapi kwa kutumia power bank?

Kucharge mara ngapi inategemea na ukubwa wa p/bank vs ukubwa wa betry ya simu yako.

Kwa mfano, kama ukubwa wa p/bank ni mah 15000, na ukubwa wa betry ya simu yako ni mah 1400, basi kujua ni mara ngapi itachajiwa, take 15000÷1400 = 10.7

Kwa hiyo simu yako itachajiwa masaa 10 na nusu.
 
Asanteni kwa ushauri ndugu zangu
 
Aisee..ninaitaj pbank..zaid ya 30000mah..pls km unayo..ni pm..naitaj sn.
 
Back
Top Bottom