Yeye nikiongozi ila anashindwa kufuata zile kanuni za uongozi hapaswi kufanya maamuzi kama yale ambayo anajua kabisa yatakuw na negative feedback kama yale hakupaswa kutoa amri kama ile na kitu cha kujiuliza kwanin akiwa yeye tu ndo vurugu zinatimuka?
Its true kwamba vita sio nzuri hata mimi sikubalian nalo ila rais anapaswa kuwa makini katka maamuz juu ya hili,maana siku zoye anaemaliza huwa anaonekana sie alienza!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.