Recent content by mussa m roman

  1. mussa m roman

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Ukishakuwa na vitu hivi we subiri tu kufa

    🤣🤣🤣🤣
  2. mussa m roman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipo tayari kumuoa ila yeye hayupo tayari, mnanishauri nini?

    😂😂😂
  3. mussa m roman

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya Mtandaoni

    Habari wadau wa JF Naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu eti hizi kampuni au app za mikopo Mtandaoni zina uhalisia kweli wa kutoa mikopo, kuhusu usajili wao, na kampuni au app ya mkopo ipo vizuri na haina longolongo . ???
  4. mussa m roman

    JamiiForums Tanzania Aisee michezo ya kubahatisha (kubeti) kama huna afya nzuri unaweza ukafa huku unajiona

    Mimi kesh out hua naizingatia sana. Kwa ninavyojijua hiyo 2M ningekua nishasomba [emoji1787]
  5. mussa m roman

    JamiiForums Tanzania Maabara ya Afya inauzwa

    Habari, Maabara ya Afya inauzwa . Imekamilika kila kitu na tayari ina kodi ya miaka 6. Sio miezi ni miaka. Location: DSM Ipo SAKU- CHAMAZI Ipo stand kabisa ukiangalia picha vizur utaona, haina changamoto yoyote. Anaeuza ni kwa ajili ya kitatua shida zake. Kwa mwenye uhitaji 0652005254 0621451621
  6. mussa m roman

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Medical laboratory/ maabara ya afya

    Ikiwa na vifaa vyake vyote... Kwa maana kila kitu ulichokiona hapo na utavyovikuta ni m11 we ukinunua ni kuanza kazi tu. Kama una vifaa vyako bei ni mil 7. Maana yake kuna vitu vitapungua
  7. mussa m roman

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Medical laboratory/ maabara ya afya

    Nahitaji kulipa mkpo Bank mzee. Hiyo ndio sababu
  8. mussa m roman

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Medical laboratory/ maabara ya afya

    Hizo
  9. mussa m roman

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Medical laboratory/ maabara ya afya

    Hizo nyengine
  10. mussa m roman

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Medical laboratory/ maabara ya afya

    Habari' KWA WAWEKEZAJI, MAABARA YA AFYA/ MEDICAL LABORATORY Inauzwa. Imekamilika kila kitu. Umeme wa Tanesco na sola poa ipo Haina shida yoyote. Mil.7 kwa mil. 11.5 Tayari ina kodi ya Miaka 6. Location Dar es Salaam . Saku-Chamazi (Mbagala) Kwa mwenye uhitaji.. Karibu. Contacts...
  11. mussa m roman

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya dola fuatilieni taarifa za mwalimu Ayoub wa St. florence kutembea na mwanafunzi

    Amempa mimba?? Kuna evidence? Au inasemekana tu ?
  12. mussa m roman

    JamiiForums Tanzania Kati ya kozi ya Laboratory Science and Technology na Medical Maboratory ipi nzuri?

    Muosha tube katika fani ipi hapo mzee fafanua kidogo
  13. mussa m roman

    JamiiForums Tanzania Kati ya kozi ya Laboratory Science and Technology na Medical Maboratory ipi nzuri?

    Inategemea unataka kua nani, kozi zote ni nzuri. Lab science &technology ina uwanja mpana . Wa kwenye kujiendeleza Bachelor. Sehem unazoweza kwenda kufanya kazi ni kama Maabara za viwandani, maabara za mashuleni, maabara za kwenye mataasisi, NB. haitokuwezesha kufanya kazi hospital incase kama...
  14. mussa m roman

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Chuo Roundi ya pili 2021/2022

    Asante nimecheki tcu nimeona 18/9
  15. mussa m roman

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Chuo Roundi ya pili 2021/2022

    Majina ya selected applicants waliomba vyuo round (degree) ya pili mwaka wa masomo 2021/2022 yanaweza yanatoka lini kutokana na uzoefu wenu. ? KCMUCo na CUHAS , hasa ndivyo vyuo nnavyovikusudia
Back
Top Bottom