Kati ya kozi ya Laboratory Science and Technology na Medical Maboratory ipi nzuri?

rmah

Member
Sep 8, 2021
8
4
Samahani nmeuliza kuhusu laboratory science and technology na medical laboratory ipi nzuri na inamanufaaa makubwa baada ya kumaliza
 
Medical laboratory is the best, hospital na vituo vya afya vipo vingi mno na hata ukiaangalia sera ya tozo Ni kujenga vituo vya afya pamoja na shule.
 
Kwaio KWA mtu atakayesoma laboratory technician kujiajir mwenyew itakuwa ngumu sanaaa e
 
Samahani nmeuliza kuhusu laboratory science and technology na medical laboratory ipi nzuri na inamanufaaa makubwa baada ya kumaliza
Inategemea unataka kua nani, kozi zote ni nzuri.
Lab science &technology ina uwanja mpana . Wa kwenye kujiendeleza Bachelor. Sehem unazoweza kwenda kufanya kazi ni kama Maabara za viwandani, maabara za mashuleni, maabara za kwenye mataasisi, NB. haitokuwezesha kufanya kazi hospital incase kama ulikua unafikiria hivyo.

Kwa upande wa medical lab yenyewe haina uwanja mpana sana kwa bachelor, its either uka specialize katika one of para, chem ,haem, histo . Au ukapge nutri , biotech . Ipo limited kiasi.

Medical lab utakua unadili na utambuzi wa magonjwa ambayo yanawasumbua watu ili kusaidia mgonjwa apewe matibabu stahiki yatakayomsaidia kupona.

Medical lab kama unamtaji unauwezo wa kufungua maabara yako latika jamii inayokuzunguka na kuwasaidia kutambua ni maradhi gani yanayowasumbua. Nk


So inategemea wewe unataka kua nani.
 
Back
Top Bottom