Mikopo ya Mtandaoni

mussa m roman

Member
Jul 17, 2017
20
4
Habari wadau wa JF
Naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu eti hizi kampuni au app za mikopo Mtandaoni zina uhalisia kweli wa kutoa mikopo, kuhusu usajili wao, na kampuni au app ya mkopo ipo vizuri na haina longolongo . ???
 
Kuna kitu kinaitwa vigezo na masharti, watu wengi tumekua hatusomi hivi vigezo na masharti na hata tukisoma Hatusomi Hadi mwisho kwa sababu Huwa wanaandika vitu vingi mno, hayo makampuni ukiangalia matangazo yao yanavutia mno utasikia unaweza kukopa laki 5 Hadi 1M ndani ya dakika mbili tu na wewe kwa kuvutiwa na tangazo una jaa bila kusoma na kuelewa vigezo na masharti unajiunga unakimbilia kukopa matokeo yake unakopa laki 5 unapewa 20k ukiuliza unaambiwa iyo nyingine ni ya garama za uendeshaji wa kampuni 🤣😂😂 alafu kulipa unatakiwa ulipe laki 6 na nusu , na ndivyo vigezo na masharti Yao yanavyo sema , Pili ukiachana na hizo kampuni hizo ambazo zinakopesha kweli ila vigezo na masharti sio rafiki Kuna matapeli wanatumia mgongo huo huo wa kukopesha kutapeli watu utasikia ili kupata mkopo wako wa laki 5 tuma 40,000 tu kama dhamana yako , na wewe unaona 40k ni nini mbele ya laki 5 unatumua 😂😂😂 ndo imeenda iyo, so kujua nani ni tapeli na nani sio tapeli wakati mwingine ni ngumu unaweza ku mention Mtu ni tapeli kumbe amasajiliwa na anatambulika kisheria , so ni wewe tu na kuchekecha akili yako
 
Habari wadau wa JF
Naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu eti hizi kampuni au app za mikopo Mtandaoni zina uhalisia kweli wa kutoa mikopo, kuhusu usajili wao, na kampuni au app ya mkopo ipo vizuri na haina longolongo .

Habari wadau wa JF
Naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu eti hizi kampuni au app za mikopo Mtandaoni zina uhalisia kweli wa kutoa mikopo, kuhusu usajili wao, na kampuni au app ya mkopo ipo vizuri na haina longolongo . ???
Nashauri Aachane nazo Kwa sababu tatu:
1. Hawatunzi privacy yako. Wanaweza kuwasiliana na watu wako na kukudhalilisha kwao bila kujali chochote endapo ukachelewa kuwalipa au wakakupigia simu hujapokea au hupatikani na wakati wanakutafuta hata kama muda wa Mkopo hujaisha.

2.Riba yao Ni kubwa Sana. Mfano Hakika Loan unakopa 70k riba 50k yaani 120k ndani ya siku SITA. Hii itakugharimu tu utaishia kushindwa kuwalipa na ili wasikudhalilishe utaingia kwenye Circle ya madeni ili kulipa madeni.

3. Uongo. Mkataba unaweza kusema hivi na ukapewa PESA tofauti na mkataba. Sasa kwakuwa PESA imeshaingia kwako unakuwa kwenye mchakato wa kulipa Kwa kutokupenda.

From my experience nakushauri achana nazo Usidhalilike.
 
Hawa wasenge wametuma ujumbe kwa ndugu zangu wote wamenichafua aisee sirudiii tena..
 
Hizi app n kwel mkuu ila hawakupi Zaid ya elfu 50000 na n cku Saba tu uwe umerejeshaa ,ukichelewa Mzee baba ho simu wanavyopigaa unaweza juta kwann ulikopaa😂😂😂

Muhimu nida Yako tu Hela inaingia Kwa cm chapu
 
Back
Top Bottom