Recent content by Mussa D Mayagila

  1. Mussa D Mayagila

    Baada ya TPA kutangaza tenda kuhusu uwekezaji Terminal 2, Bado mnaamini Bandari zote zimeuzwa?

    😆😆😆😆😆😆😆😆 Mshana bhana daah!!
  2. Mussa D Mayagila

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Labda Kai ila sio timber boss
  3. Mussa D Mayagila

    DP World walifukuzwa Yemeni (Aden Port)

    Mkuu pitia mikataba ya DP WORLD na hizo nchi za Western Europe halafu uje utazame na nchi za kiafrika hasa huu wetu halafu jiulize kwa nini wewe usiitwe chawa?
  4. Mussa D Mayagila

    Sipati picha Magufuli angelikuwepo mkutano wa viongozi wa Africa na Urusi

    Ugonjwa wa moyo ndio ulikuwa unamzuia asitumie saa nyingi kwenye ndege, that's why route ndefu angani alikuwa haendi
  5. Mussa D Mayagila

    1960: Vita za kutafuta nguvu, umafia na mikono itendayo miujiza

    Leo jioni nitaimalizia hii simulizi, samahani sana kwa kuicheleweaha sana wakuu.
  6. Mussa D Mayagila

    Msanii Maarufu wa Nigeria Mercy Aigbe Asilimu

    Oyaaaaaaa!!! Kwamba madame anapakia Kitibaridi na kushusha na K-Vant swafi kabisa
  7. Mussa D Mayagila

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Nina android 13 zinazingua kufungua nimewasha VPN zinafunguka bila taabu
  8. Mussa D Mayagila

    1960: Vita za kutafuta nguvu, umafia na mikono itendayo miujiza

    aimi lyatuu kichakaa man DryEyes lugano27 Mgeni wa Jiji Prince Mhando Sent from my CPH2385 using JamiiForums mobile app
  9. Mussa D Mayagila

    1960: Vita za kutafuta nguvu, umafia na mikono itendayo miujiza

    dronedrake Kinjekitile Jr Antonnia K11 taamu kawombe Extrovert Ngulii vise Restless Hustler smart11@Mwanamena Evelyn Salt Sent from my CPH2385 using JamiiForums mobile app
  10. Mussa D Mayagila

    1960: Vita za kutafuta nguvu, umafia na mikono itendayo miujiza

    1960:VITA ZA KUTAFUTA NGUVU, UMAFIA NA MIKONO ITENDAYO MIUJIZA. Episode ya 05 Nimerudi. Kumbukizi-Tupo wiki moja kabla ya usiku wa dhahma kubwa!Kwa Mr.Robert Kimani. Sometimes 1998 Usiku huu Boss wa nchi(wa 1998), Boss wa zamani(Alikuwa waziri wa fedha 1998) na Boss wa sasa(Mtumishi adhimu...
  11. Mussa D Mayagila

    1960: Vita za kutafuta nguvu, umafia na mikono itendayo miujiza

    Wakuu naomba mniwie radhi kidogo, nilikua kwenye mitihani ya kumaliza semista.Nitaweka episode mfululizo niimalize haraka. Sent from my CPH2385 using JamiiForums mobile app
  12. Mussa D Mayagila

    Bandari; vita za mafisadi, kutafuta nguvu na kinga ya kutoshtakiwa

    Hakuna kazi ngumu duniani kama kutetea udhaifu, inahitaji kiwango f'lani cha upumbavu na kujitoa ufahamu ili ueleweke kwa waliochagua kuamini na kuuelewa upumbavu wako!Mungu aingilie kati. Kuna mtu amepewa kazi ya kuwa na mdomo wa moto kutetea waramba nyayo wenye matumbo yasiyoshiba!Amechagua...
  13. Mussa D Mayagila

    Soma kwa makini: Dalili zinaonesha kuwa huenda mkataba wa bandari ukasababisha vifo vya watu

    We km unapewa hela kutetea ni wewe km wangekua na Hela kiasi cha kugawa vocha kwa kila mtu bila shaka hiyo mikopo unayodai walikopa kisa Wana uhakika wa kupiga pesa bandarini, bila shaka wangekua wanazitumia kulipa hayo madeni na sio kugawia watu.
  14. Mussa D Mayagila

    Soma kwa makini: Dalili zinaonesha kuwa huenda mkataba wa bandari ukasababisha vifo vya watu

    Andiko liko bias na linaonyesha unakubaliana na huo mkataba, eti mtu ajiue kisa alikopa Hela wapi akajenge nyumba?Unafichaficha nini si unyooshe maelezo tu. Sema tu makundi ya watakaopoteza maisha kisa sakata la Bandari ni Hawa. 1.Wabunge waliohongwa walipokua Dubai.(huko mbele I Kuna kila...
  15. Mussa D Mayagila

    Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

    Wewe umeacha lini kua mjinga? Sent from my CPH2385 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom