Recent content by musobogo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Namtafuta Neema Thomas

    Namtafuta huyu Dada Anaitwa Neema Thomas. Miaka ya 1995 Alikuwa anaishi kwa Mzee Tenga, Bomboa Area Tanga. Ni mwenyeji wa Muheza.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya vumbi la Kongo ni hatari kwa afya?

    Wapi linapatikana nalihitaji
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya vumbi la Kongo ni hatari kwa afya?

    Wapi nitaipata
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya vumbi la Kongo linavyoleta heshima kwa mpenzio

    Nitaipata wapi
  5. M

    JamiiForums Tanzania CAG: Kampuni zote za madini hazijawahi kulipa kodi kutokana na faida, hapa kuna tatizo

    CAG kadanganywa na watu wake. GGM wanalipa kodi hizo na kwa miaka 5 mfululizo GGM wamekuwa wakipokea zawadi wa kuwa walipakodi wakubwa. GGM wanalipa Cooparate taxi ya 30% kila mwaka. Sasa CAG sijui anamaanisha nini kuwa hakuna mgodi unalipa kodi kutokana na faida.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Azam Tv mihemko itawapeleka shimoni

    Kwa taarifa yako tu. Hayo makontena hayajakamatwa. Hayo makontena yako hapo tangu rais alivyotoa zuio la kusafirisha mchanga ya migodini nje ya nchi. Wakati agizo linatolewa makontena hayo yalizuiliwa kusafirishwa. Hivyo hiyo sio habari tena.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    Kimsingi Harriers na Lexus hadi 2008 ni gari sawa. Lezus ilikuwa ni kwaajiri ya soko la Marekani zaidi. Lkn gari hiyo hiyo ilikuwa inatengenezwa kwa hina la Harrier kwa soko la japan. Kuanzia 2008 kuendelea Lexus sasa hivi inatengenezwa Japan na zimekuwa brand 2 tofauto lkn ni mali ya Toyota...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Machungu ya kubadili vifungu vya katiba ya ccm yaanza kuonekana

    Jeuri inayoneshwa na jpm juu ya uharifu wa Bashite inatokana na ukweli kuwa hakuna mtu wa kushindana naye katika kinyang'anyiro cha muhula wa pili cha urais. Maana kuna wana ccm wengi kitendo cha leo hawajakubaliana naye. Lkn sasa watafanyaje na ndio wameingiwa mkenge wa kubadili kifungu cha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya Ford explorena escape

    Asante. Niwajibu wetu kushukuru. Unajua ningeliweza kuuliza na watu wakakaa kimya na ni haki yao. Lkn mtu anapotoa muda wake na kukushirikisha kuona ni vyema akuahirikishe kile anachokijua hatuna budi kushukuru kwa utu wake na uungwana wake wakujali wengine.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya Ford explorena escape

    Vipo volvo xc90 za 2004 hapa mjini nazo ni shida?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya Ford explorena escape

    Nimekupata mkuu
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya Ford explorena escape

    Asante mkuu. Nikushukuru kwanza kwa kwa ushauri wako na uvumilivu wako kwa maswali yangu. Yawezekana maswali mengine yalikuwa ya level ya chini kabisa lakni hukujali. Pamoja na wengine mliochangia juu ya maswali yangu. Michango yenu imekuwa ya manufaa kwangu na naendelea kuipokea. Nimejifunza...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya Ford explorena escape

    Asante mkuu. Lkn naziona ziko chini sana na mie napenda iwe juu kiasi kama Rav4 hivi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya Ford explorena escape

    Hahhaha. Nimependa hiyo "kwani unataka kufanya school basi." Mkuu nina watoto 2. Sasa nikiwa na watu wazima wa kubeba mbali na mke wangu naona kama itabidi nyuma wapakatane. Hivyo ndio maana natafuta 7 seaters ili siku nikiwa na wageni wasio na isafiri na ikalazimika kupanda wote na familia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya Ford explorena escape

    Shukurani kaka Mshana. Naomber ushauri wako tena. Kluger 2.4 na Suzuki escudo aliyoiongelea hapo juu. Hipi ni nzuri zaidi. Bajeti yangu haizidi 25m. Lkn nahitaji gari ya juu (midsize suv kama kluger na suzuki escudo) iwe ni 7 seaters.
Back
Top Bottom