Jeuri inayoneshwa na jpm juu ya uharifu wa Bashite inatokana na ukweli kuwa hakuna mtu wa kushindana naye katika kinyang'anyiro cha muhula wa pili cha urais. Maana kuna wana ccm wengi kitendo cha leo hawajakubaliana naye. Lkn sasa watafanyaje na ndio wameingiwa mkenge wa kubadili kifungu cha kugombea mhula wa pili bila kupingwa. Jpm laiti angejua anaweza kupata upinzani, na ukizingatia anajua hakubaliki sana chamani, asinge kuwa na jeuri aliyoionyesha leo.