Hivi Tanzania kuna sera ya kudumu kwenye mambo ya elimu? Maana sielewi kabisa haya yanayoendelea kwenye elimu. Mara futa michezo, mara rudisha, mara GPA, mara futa GPA yaani kila mtu na lake. Sijui tutakuwa watu wa kujaribu mifumo ya elimu hadi lini?
Binafsi mambo ya Zanzibar yananichanganya kabisa. Hasa baada ya kugundua kuwa ile historia niliyofundishwa shuleni ilichakachuliwa. Kila nikijaribu kutafakari naona huu utata wa muungano na chuki kati ya wapemba na waunguja utatatuliwa kwa muundo mpya wa kikatiba ambao utapatikana kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.