Tizama uchumi unavyokuwa toka awamu ya Nyerere hadi Magufuli, CCM wako vizuri | Page 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tizama uchumi unavyokuwa toka awamu ya Nyerere hadi Magufuli, CCM wako vizuri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Return Of Undertaker, Apr 21, 2017 at 2:43 PM.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2017 at 2:43 PM
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 1,571
  Likes Received: 3,075
  Trophy Points: 280
  FB_IMG_1492774850646.jpg
   
 2. Barbarosa

  Barbarosa JF-Expert Member

  #41
  Apr 21, 2017 at 9:37 PM
  Joined: Apr 16, 2015
  Messages: 11,162
  Likes Received: 9,180
  Trophy Points: 280

  Uongo upi huo nilioandika? Funguka usitangulize hisia mbele!
   
 3. Hazchem plate

  Hazchem plate JF-Expert Member

  #42
  Apr 21, 2017 at 9:44 PM
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 247
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 60
  Importation or exportation mkuu
   
 4. WhySoSerious

  WhySoSerious JF-Expert Member

  #43
  Apr 21, 2017 at 9:49 PM
  Joined: Nov 19, 2015
  Messages: 486
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 180
  I am sure you meant exportation.
   
 5. Kkimondoa

  Kkimondoa JF-Expert Member

  #44
  Apr 21, 2017 at 9:52 PM
  Joined: May 31, 2014
  Messages: 2,862
  Likes Received: 2,190
  Trophy Points: 280
  Mhh!! Kama kitu hukijui kaa kimya fungasha bakuli lako mwehu wewe!! Inamana hukusoma hata shule?? Ina mana hujui kuwa foreign exchange rate can determine native economic growth and value?? Muwe mnapunguza umbumbumbu wakati mwingine msiwe mashabiki bila akili, hujiuliz kwa nini nchi zenye uchumi mkubwa na thamani ya pesa yao pia ni kubwa?? Kweli nyie watu ni viiyo wa kutupwa.
  NB: Ndio maana nimetumia CAN so namaanisha sio mara zote.
   
 6. Mwelewa

  Mwelewa JF-Expert Member

  #45
  Apr 21, 2017 at 10:03 PM
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 1,869
  Trophy Points: 280
  Upo sahihi....I meant exportation
   
 7. Barbarosa

  Barbarosa JF-Expert Member

  #46
  Apr 21, 2017 at 10:16 PM
  Joined: Apr 16, 2015
  Messages: 11,162
  Likes Received: 9,180
  Trophy Points: 280

  Haya nielezee kwa nini Pula ya Botswana iko juu kuliko Yen ya Japan, wakati Japan ni nchi ya Pili kwa Utajiri Duniani na Botswana ni third World!

  1 Pula Botswana=10 Japanese¥
   
 8. D

  Dan Zwangendaba JF-Expert Member

  #47
  Apr 21, 2017 at 10:20 PM
  Joined: Apr 25, 2014
  Messages: 1,493
  Likes Received: 1,238
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo Nyerere ndiye alioharibu zaidi katika kuanguka kwa Dola huku Mkapa na Kikwete wakitofautiana kidogo. Rate ya kushuka kwa shilinhi kwa mujibu wa data hizi niii:

  Nyerere: 1966-1976: Tsh.5~12 (140%)
  Nyerere: 1976-1985, Tsh.12~102 (750%)
  Mwinyi: 1985-1995, Tsh.102~500 (390%)
  Mkapa: 1995-2005, Tsh.500~1050 (110%)
  Kikwete: 2005-15, Tsh. 1050~2210 (110.5%)
  Magufuli: ??????????
   
 9. KINGSLEE

  KINGSLEE JF-Expert Member

  #48
  Apr 21, 2017 at 10:20 PM
  Joined: Aug 30, 2013
  Messages: 232
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 60
  Ikifika 2020 mzigo utakuwa USD 3500
  Mungu ibariki tanzania..
   
 10. D

  Dr Akili JF-Expert Member

  #49
  Apr 21, 2017 at 10:37 PM
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,377
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Kujua kuwa uchumi wetu unakuwa ni rahisi tu. Tumia macho yako tu. Utaona idadi ya barabara za lami zinavyoenea kila sehemu, miji inavyojengeka, majumba mazuri ya kisasa hadi sky scrappers hadi vijijini, umeme kila mahali, flyovers, watu wanapendeza: hawavaii kaniki tena bali wanavyaa nguo za kupendeza, kuna tv na bodaboda hadi vijijini, maelfu ya watu wana digrii zao lakini wako jobless, treni hadi za umeme, ndege na viwanja vya ndege kila mahali hadi kampeni za uchaguzi zinafanywa kwa choppers, mitandao ya kieletronic hadi vijijini, watu wanapikia gesi hadi serikali imepiga marufuku utumiaji wa mikaa, magari hadi mtoto wa miaka 20 ananunua hadi traffic jam kali kama ulaya, miji mingi kama hujafika zaidi ya miaka 2 ukienda sasa utapotea, supper markets kali, bongo flava & movie kali, watu wanalima kwa matrekta, irrigation schemes kibao, viwanda kibao hadi za kuunganisha magari na kadhalika.

  Wewe huyaoni haya? Yalikuwapo enzi zile za dollar moja sawasawa na shs tano? Unahitaji hadi mzungu akuambie kwamba ameona uchumi wenu unakua?
   
 11. M

  Musia Member

  #50
  Apr 21, 2017 at 10:48 PM
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nimeupenda uchambuzi huu. Kuna elimu ya maana sana hapa.
   
 12. Mwifwa

  Mwifwa JF-Expert Member

  #51
  Apr 21, 2017 at 11:42 PM
  Joined: Apr 3, 2017
  Messages: 308
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 60
  Hongera mleta uzi, maana ni fumbo tosha.

  Werevu kazi kwenu
   
 13. cephalocaudo

  cephalocaudo JF-Expert Member

  #52
  Apr 21, 2017 at 11:45 PM
  Joined: Aug 27, 2016
  Messages: 2,404
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  *kwa anaehitaji t_shirt za CCM kwa bei poa anicheck inbox 0761741574*

  *T_shirt hizo kwa nyuma zimeandikwa ushindi 2020 lazima*
   
 14. E

  Earthmover JF-Expert Member

  #53
  Apr 22, 2017 at 12:24 AM
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 11,725
  Likes Received: 2,501
  Trophy Points: 280
  ....
  ....zero onweki
   
 15. E

  Earthmover JF-Expert Member

  #54
  Apr 22, 2017 at 12:25 AM
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 11,725
  Likes Received: 2,501
  Trophy Points: 280
  ....
  ....pamoko Mkuu
   
Loading...