assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
Haiwezekani madhila watu wanayoyapata lakini bado wanaichagua CCM...
Zanzibar wanajielewa na mara kibao wamefanya kweli ,2015 waliionyesha dunia sauti yao wadanganyika tunadanganyika nini?
- Unabomolewa nyumba bila fidia
- Unanyimwa chakula ukiwa na njaa
- Unapigwa mabomu ukiuza nguo zako na msosi town
- Mshahara hujaongezewa kwa mtumishi
- Mkopo chuo umekosa
- Hospitali hupati dawa
- Umenyimwa kuona bunge liv
- Mafisadi hawakamatwi rejea escrow,epa, nk
- Kukandamizwa uhuru wa kujieleza na kufanya mikutano
- Watu wanatetea viongozi wenye tuhuma za kufoji vyeti
Zanzibar wanajielewa na mara kibao wamefanya kweli ,2015 waliionyesha dunia sauti yao wadanganyika tunadanganyika nini?