Recent content by musi

  1. M

    samsung galaxy mini

    thanx.
  2. M

    samsung galaxy mini

    nisaidieni wajameni,nitawezaje kuingiza internet kwenye samsung galaxy ace s 5380
  3. M

    Mbunge wa Tarime Nyagwine Nyambari na Mauaji ya Nyamongo

    wanawazika watu wakiwa hai mkuu
  4. M

    Mbunge wa Tarime Nyagwine Nyambari na Mauaji ya Nyamongo

    jamaa kakatika mkono akiwa kazini lakini wamemtema tu,hawawajali hata wafanykazi wao,acha watu wakajichukulie almas zao bwana.
  5. M

    Mbunge wa Tarime Nyagwine Nyambari na Mauaji ya Nyamongo

    inasikitisha sana tunanyanyaswa nyumbani kwetu!wale wanaume wa nyamongo wameamua vizuri tu kuwapiga mawe
  6. M

    Kwa hali hii Kikwete sio rais wa Iringa

    habari ndo hiyo,2015 cc...kushney
  7. M

    Unaibiwa?? chukua dawa

    kwa bongo hii ndoa zote kushney,wachumba vilevile kila mtu anachakachua kwa kwenda mbele,yaacheni yalivyo hata baba na mama yako itawakuta.
  8. M

    Nataka kuifahamu ratiba ya vipindi vya TBC1

    vipindi vya kuanzia lini?
  9. M

    Anahaki ya Kuyawekea Makalio Yake Bima

    kuna watoto wameumbika duh!
  10. M

    Babu wa loliondo atishiwa ""maisha""

    katishiwa maisha na nani?mbona hujatuweka wazi mkuu.:angry:
  11. M

    How to use JamiiForums effectively

    jambo wote,ni mpya kwenye jf nawatakia afya njema kabla sijaanza kuchangia mada yeyote.:hand:
Back
Top Bottom