Recent content by mushwabure

  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yaomba msaada wa Treni zilizotumika (Chakavu) Uingereza kuboresha usafiri wa treni

    Sisi masikini mbona wanatutoza kodi zaidi (ya uchakavu) tukiagiza magari yanayozidi umri wa miaka kumi hata kama ni mazima, yanafanya kazi na yametembea kilomita chache?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maggid mjengwa umepata wapi kibali cha kutafasiri kitabu cha mandela cha long walk to freedom?

    U may wish to read this link. What are derivative works under Copyright law? | LegalZoom
  3. M

    JamiiForums Tanzania Maggid mjengwa umepata wapi kibali cha kutafasiri kitabu cha mandela cha long walk to freedom?

    Naongea km expert wa Intellectual Property. Kutafsiri au kufanya translation ya copyrighted work ya mtu ni makosa endapo kunafanyika bila consent au licence ya copyright owner au warithi wake. kutafsiri ni kutengeneza kazi inaitwa kisheria derivative work, ambayo kimsingi inategemea kwa kiasi...
  4. M

  5. M

    JamiiForums Tanzania Red Brigade: Kikundi cha mauaji, watekaji, wamwagia sumu na "nchi kutotawalika"

    kubadilika siyo kubadirika-chezea first class wewe
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kumtoa Msigwa katika kamati ya Bunge, kuna kitu kinaendelea nyuma ya pazia?

    mbeba box afikirieje kumbe?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa kiongozi wa BAVICHA atua NCCR-Mageuzi

    chuo chenyewe umesoma cha kata halafu unatamba? wht is secuco? si ulikosa admission kwingine halafu unataka sifa kwa nguvu? nenda bt huna influence, mvuto wala ushawishi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matokeo ya kukimbia shule, masikini CHADEMA...

    Huyu kwanza si atakuwa amesoma India kwa kukosa nafasi vyuo vya maana hapa nchini kama udsm? na hata huko India si nasikia ana gentleman?
  9. M

  10. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Ht mwaka wa muungano katamka one nineteen sixty four=1 1964
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Hta mwaka kasema muungano ni one nineteen sixty four yaaani 1 1964
  12. M

    JamiiForums Tanzania Le Mutuz auza sura kwenye Udaku

    Do you still rate yourself as a good politician?MTOTO WA MALECELA FUNGA KAZI - Global Publishers
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali, wanasiasa na jeshi la polisi wanapotosha juu ya swala lilo mahakamani

    Someni hii article kwa ufafanuzi on this issue.
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Surprise kwa wanaume!!!

    usije nunua kesi "hii hotel uliijuaje" siku ya furaha ikaingia mchanga.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Jakaya Kikwete analipwa mshahara na posho kiasi gani? na analipa kodi kiasi gani?

    utaratibu uliojiwekea na nani lini na wapi:eek2::eek2:
Back
Top Bottom