Recent content by MUSHI UDOM 08

  1. M

    Rai ya Alex Mushi kwa vijana wenzangu.

    Nimesukumwa kuandika makala hii kwa sababu ya hali ya mwenendo wa kisiasa unaoendelea hapa nchini kwetu na zaidi nimesukumwa na mienendo ya vijana wenzangu katika hali hiyo.Vijana tumekuwa wachezaji wa mapigo ya ngoma za kisiasa zinazopigwa na wanasiasa wetu wasiolitakia jema taifa letu; wakati...
  2. M

    Elimu yetu: Kuuza miili UDOM ni matokeo...

    by Alex Nicholaus Thomas Mushi . Kwa dhati ya moyo wangu nimesikitishwa sana na taarifa zilizozagaa kwenye vyombo vya habari kuhusu kujiuza kwa dada zetu wa UDOM. Wasomi ambao wana Dodoma na watanzania kwa ujumla walitegemea kujifunza kutoka kwao. Taarifa hizi zimenichochea kukaa chini na...
  3. M

    Kitisho cha Dr. Slaa si zaidi ya Mrema - Kinana

    Nimesikitishwa sana na vijana wenzangu kutumika kisiasa kiasi cha kuudhalilisha utu wao. Kijana aiitwaye EDO MWAMA LALA, aliyekuwa katibu wa BAVICHA mkoa wa Mbeya na Adam CHEGULANI (diwani wa jiji la mwanza aliyenyang'anywa kadi),wote hawa walifukuzwa Chadema kwa kutokuwa waadilifu. Wapo...
  4. M

    Mbowe ndiye tatizo CHADEMA

    Mbowe hafai,anaefaa mjomba,shangazi,shemeji au wifi yako?
  5. M

    Slaa, Mbowe waweka wazi mrengo wao wa kikatoliki

    Yusuph Makamba alisoma seminary lakini hakubadili dini na wala hakubadilishwa dini. Ni wazi Sokomoko ni mtu anayependa kuja kuona nchi inaingia kwenye machafuko ya kidini siku moja ndiyo maana hana Post nyingine zaidi ya kuchochea udini. Niweke wazi kuwa Taaluma huongozwa na mitaala na si hisia...
  6. M

    Nape nakupongeza

    Nape acha maneno mengi yasio na tija kwa jamii shawishi uongozi wako uchukue hatua dhidi ya walanguzi na si kusema na kuacha. Huo ni unafiki. We ndo mlanguzi mkubwa. Kwa sababu kila mkutano wako unawahadaa wananchi kwa maneno yenye sukari. Umeshindwa kuhubiri juu ya mapacha wa chama chako ambao...
  7. M

    Nape: Bajeti Mbadala ya Kambi ya Upinzani inadhihirisha uongo wa CHADEMA

    Nape umidhihirisha kweli huna uwezo wa kuwa katibu mwenezi wa chama chako (ccm). Na kama kweli walikuchagua kutokana na uwezo wako katika nafasi hiyo,basi sichelewi kusema chama chako si makini na wote humo ni mambumbumbu. Nayasema haya kwa masikitiko makubwa sana kwani naumia kuona chama...
  8. M

    Mhadhara Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi: Mwakyembe, Sitta, Shivji et al ndani!

    Kuna kiongozi katika list hii ni mnafiki mkubwa sana na hawafai kamwe kujadili masuala kama hayo kwani alishakuwa ndani ya serikali na hakusaidia chochote kile zaidi zaidi ya kudumisha fikra zile zile za ki- utapeli; anachotaka sasa ni kujisafisha mbele ya umma; swali la msingi la kujiuliza ni...
Back
Top Bottom