Fanya haya hamu ya sex itarudi

Fanya haya hamu ya sex itarudi

Mimi naona kuna prinsiple moja...hasa kwa ss wanaume ukimpenda mtu either mchumba au mke..yaani umpende kabisa ile ya kumkubali unavutiwa nae kabisa basi haya mambo mengine inakua rahisi sana..hamu itakuja, utamridhisha, utamletea zawadi, utafanya kila kitu especily ukutane na mwanamke ambaye nae anaakili zake anaelewa...lkn sasa kibongo bongo hata uwe na mafuta gani ya kusugua mwili kama upo na mtu km fashion tu, au kama wajibu wa kuoa tu au km sex toy.. Bila upendo wa hali ya kutoka moyoni ni matatizo sana..na we usually we start with sex n then love while viceversa is true

hongera dkt hakuna cha ziada zaidi ya upendo.
 
1. Si kila siku kitandani! Siku nyngne shusheni godoro chini.
2. Peleka wtt kwa bb yao, sk nyngne mnahami sebuleni!
3. Na bafuni pia tamu!
5. Nendeni hotel tft tft, zile za bei na zile huku kwetu!
6. Nendeni shamba, ingieni vichakani, piganeni miti ktk visiki!
 
Hiyo namba sita mkuu imenichekesha sana
 
Back
Top Bottom