Recent content by Mushi Richard E

  1. M

    Nafasi ya kazi - Bwana Masoko/Mauzo

    NAFASI YA KAZI. Km umejizatiti kielimu upande wa Masoko/Mauzo (Marketing/Sales) na unajiamini sana katika nyanja hii, na kwamba una uwezo wa kushawishi na kuuza, una uzoefu huo na upo tayari kufanya kazi hiyo, una uwezo mzuri wa kufanya mawasiliano kati ya pande mbili (kati ya kampuni utakayo...
  2. M

    Nafasi Ya Kazi - Senior Web Developer

    Nitumie CV yako kama wewe ni Web Developer, tuna nafasi ya Kazi uje uanze kazi mara moja. Tupo Dar, Mikocheni. JOB TITLE: Senior Web Developer Creates designs and layouts for websites, corporate intranets, email communications, logos, and online interfaces. Also designs materials for Web-based...
  3. M

    Nafasi mbili za kazi - PHP Developers

    Tunashukuru tumepata vijana wawili watakaoungana nasi. Hatutapokea maombi zaidi hadi wakati mwingine kwa nafasi nyingine. Ahsanteni.
  4. M

    Nafasi mbili za kazi - PHP Developers

    Maguya? Iitakuwa umechanganya, akina Mushi wapo wengi sana.
  5. M

    Nafasi mbili za kazi - PHP Developers

    Sijakuelewa. Utata kwa vile natumia jina halisi?
  6. M

    Nafasi mbili za kazi - PHP Developers

    Ahsante nimeona ila mimi nataka wafanyakazi, kama una contacts za wanafunzi wako waliofuzu nipatie tafadhali
  7. M

    Kwa wadau wa IT

    Ahsante, tunahitaji wafanyakazi, km una contacts za wanafunzi wako waliofuzu, tafadhali nipatie.
  8. M

    Nafasi mbili za kazi - PHP Developers

    Je wewe ni Computer Programmer? Nafasi mbili za kazi hizi hapa. Nitaandika kwa lugha ya nyumbani. Kampuni ya E-Fulusi Africa (T) Ltd iliyopo Dar Es Salaam, imebobea katika nyanja za kutengeza systems hasa za Mobile Banking, Payment Systems, SMS projects n.k. Njoo ufanya kazi na vijana...
  9. M

    Kuzuia baadhi ya mtu kutonipia cm

    Nicheki: rmushi AT hisapepe.com Au nitwangie 0713643703
Back
Top Bottom