Nafasi ya kazi - Bwana Masoko/Mauzo

Jan 21, 2011
11
0
NAFASI YA KAZI.
Km umejizatiti kielimu upande wa Masoko/Mauzo (Marketing/Sales) na unajiamini sana katika nyanja hii, na kwamba una uwezo wa kushawishi na kuuza, una uzoefu huo na upo tayari kufanya kazi hiyo, una uwezo mzuri wa kufanya mawasiliano kati ya pande mbili (kati ya kampuni utakayo ifanyia kazi na wateja wake) kwa lugha ya Kiingereza cha kuongea na kuandika. Si mvivu mvivu, mtu wa kujituma na unaweza kutumia kompyuta (walau Excel, Word na Powerpoint na Intaneti kwa ujumla), na haswa haswa kama u kijana. (Na pia, si lazima, kama una uelewa wa huduma za simu haswa hizi huduma za kutuma pesa itakuongezea nafasi ya kuchaguliwa mbele ya wenzako watakao omba nafasi hii nawe). Basi fanya uwasiliane nami, kuna nafasi ya kazi inakusubiri.


Niandikie kwa maswali na maelezo zaidi, ambatanisha CV yako:
rmush @ efulusi.com (hakuna 'space' kati ya rmushi na @ na efulusi)
 
Are you serious? Maana hiyo email uliyotoa haipo duniani. Acha use....huu si uwanja wa jokes.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom