Recent content by mushaa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kiwanja Nyamahongoro, Mwanza

  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki wa kufanya nao tathmini ya biashara ya mazao ya kilimo, Samaki na dagaa

    Unanunua sh kwa kg? Nitafute 0715030778
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Njia ya Kuondoa Acid Tumboni

    Uwe unatumia kijiko cha asali asubuhi na jioni kila siku hilo tatizo litaisha lenyewe
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wangapi wangefanya kinyume na Klyn?

    Acha uongo wangine wangetamani hata nafasi ya kupeana naye mkono sembuse kuolewa naye, jamani tuache unafiki hizi nafasi ni za wachache hakuna mwanamke bongo hii angekataa kuolewa na mengi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aitaka TANESCO kumlipa Milion 27 aliyenunua Transformer ya Umeme Mtwara

    Hivi unajua kuna utaratibu wa kimazingira, idadi ya kaya, maendeleao kabla tanesco hawajapeleka transfoma?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuongeza fedha za kigeni nchini kwa uwakika na haraka.

    Tatizo LA hii serikali kila waziri anajiamulia atakavyo kama anaendesha familia yake, hata kama hajui lolote kuhusu swala hilo pia wataalamu tulionao hawajiamini ni akina ndio mzee, mfano upande magogo waziri kigwangala ameinyima serikali hela Nyingi za kigeni Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike wa miaka 9 kulala na babake

    Aise kwakweli tatizo hilo hata mm binti yañgu nikiwepo hataki kukaa na MTU mwingine wala kulala mbali na mm Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu Tanzania nitakapopata nyama choma au supu ya Mamba au Kenge

    Kipindi cha nyuma alikuwepo mzee mmoja sumbawanga akiitwa sultani alikuwa muwindaji mzuri wa mamba na muuzaji wa nyama ya mambo pia jaribu kuulizia kwasababu alikuwa anafuga mamba pia, mm mwenyewe nimewahi kutumia nyama hiyo ni tamu asikwambia mtu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza mafuta ya kula

    Lita moja ya mawese 1500 bei kigoma town
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kusaga na kukoboa nafaka inahitajika, bajeti 4m

    Ingia pm ninazo hizo mashine
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je, huyu Balozi Joseph Sokoine ana uhusiano wowote na waziri mkuu wa zamani Edward Sokoine?

    HuyoJoseph sokoine ni kwa mke mkubwa, amesoma nchi za kijamaa anaelimu ya kutosha na anamaisha ya kawaida na sio masikini amewahi kuwa balozi pia nimtu wa watu hapendi kujionyesha yy Nina
  12. M

    JamiiForums Tanzania Siku hizi Msumbiji Kunani?

    Mkuu siku hizi kuna dalaja LA umoja watu hawapitii tena msimba wanavukia moeda moja kwa moja kupitia darajani, mambo ya viboti kama umekalia maji walishaacha
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbona kila nikitaka kufanya mapenzi na mke wangu inakuwa ngumu?

    Jaribu kuwa unatafuta jinsi ya kuingia kuna wanawake milango yao ya kuingilia ni midogo ila ukibahati kuingiza inakuwa poa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu: Rwanda wanavyotumia wadada warembo katika uspy wao

    Wewe utakuwa mhutu unataka kuleta chuki za kihutu tz sio kila mtutsi tz ni mnyarwanda acha mambo yenu huko usitake kupandikiza chuki zenu tz
  15. M

    JamiiForums Tanzania Upweke unauma, natafuta mwenza

    Wanyamwezi jamaani bahati ya mtende hiyo!!
Back
Top Bottom