Recent content by Musaria Mwanza

  1. M

    Viwanja vinauzwa

    We ulove unajua ulivyoandika hapo kwenye bei ya square meter?hiyo figure ni sahihi au umekosea
  2. M

    Kumtongoza mwanamke asubuhi ni laana?

    Haaaaaa blenda watu hawatongozwi wanafanywaje sasa?
  3. M

    Kumjua mwanamke aliewahi kutoa mimba

    Haaaaa mwanaume Hana dalili zozote za kimaumbile Kuonyesha alikataa mimba
  4. M

    Kumjua mwanamke aliewahi kutoa mimba

    Jamani thread closed imetosha
  5. M

    Kumjua mwanamke aliewahi kutoa mimba

    Haaaaaaaa magode mbona shule nilishaachana nayo miaka mingi tu?nilipiga umande long time, labda nifukuzie udingi
  6. M

    Hizi ndo tabia za wanawake warefu

    Cha kufanya chagua unapopenda,awe mrefu,Mfupi au kati utajijua mbelekwambele
  7. M

    Kumjua mwanamke aliewahi kutoa mimba

    Asante 0716 kwa ushauri na wengine wenu kwa ujumla,nimeshapata mwanga wa nilichokuwa natafuta
  8. M

    Kumjua mwanamke aliewahi kutoa mimba

    Mchoraji umenielewa swali langu? ukinyonya maziwa yatatoa maziwa hata kama alitoa mimba miaka sita iliyopita?
  9. M

    Kumjua mwanamke aliewahi kutoa mimba

    Badoo unatoa makavu sana wakati mwenzio nahitaji kufahamu
  10. M

    Kumjua mwanamke aliewahi kutoa mimba

    Kaboom sio Mimi hapo juu,Noi Noi kajibu tu kama ndio Mimi ila sio Mimi,nina ID moja tu hii nayotumia
  11. M

    Kumjua mwanamke aliewahi kutoa mimba

    Ndugu wanajamiiForums, Naomba kufahamu utamjuaje mwanamke aliewahi kutoa mimba zaidi ya miaka mitano au zaidi iliyopita,yaani kama aliwahi kutoa kwa muda huo halafu wewe unataka kufahamu kwa kipindi hiki.
  12. M

    Kumjua mwanamke aliewahi kutoa mimba

    Nifahamu tu ili nisije ingizwa mjini baadae maana utoaji mimba umeongezeka
  13. M

    Kumjua mwanamke aliewahi kutoa mimba

    Hospitali watajua hata kama alitoa zamani?@leipzig
  14. M

    Kumjua mwanamke aliewahi kutoa mimba

    Ndugu wanajamii forum,naomba kufahamu utamjuaje mwanamke aliewahi kutoa mimba zaidi ya miaka mitano au zaidi iliyopita,yaani kama aliwahi kutoa kwa muda huo halafu wewe unataka kufahamu kwa kipindi hiki
Back
Top Bottom