Ukubwa gani kwa hiyo bei? Viko wapi hasa? Umbali kiasi gani toka mjini? Ni eneo la makazi au shamba? Toa ufafanuzi kidogo kusaidia zaidi kuamua kama kinatufaa au hapana. Ahsante.
mkuu hivyo viwanja vina hati ya ardhi , vina ukubwa gani hasa kulingana na hiyo bei uliyotaja hapo juu, je havina matatizo au mgogoro wa ardhi maana nasikia huko mkuranga mtu anauza kiwanja au shamba kwa watu 10 ana kula hela anakimbia sasa migogoro kama hiyo haipo
llingine je hiyo sehemu au hicho kiwanja kiko sehemu ambayo afisa ardhi hata akija kupima kiko kwenye mipango miji au yaleyale ya bomoa bomoa yatatokea?
mwisho weka picha tuone hapo mahali na je sio sehemu yenye mafuriko wakati wa mvua ikinyesha kukawa madimbwi na maji kutuama?
jibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.