BADALA YA JIWE KUTAFUTA SULUHU NA IMF, WB & Co. YEYE ANAJIANDAA KWENDA KWENYE KONGAMANO UDSM KUDANGANYA WATANZANIA NA KUTISHA WAPINZANI. jiwe halina damu kabisa.
Wakuu za siku? Natumaini wote hamjambo.
Mimeona niseme hili, linaweza kunufaisha watu kadhaa ambao either wana mtaji au wanahitaji professional Documents za kuombea hela (funding & grants), au hata za kushindania Tender flani, etc.
Ni mwajiriwa wa muda mrefu kwenye Kampuni ambayo kazi yetu ni...
KONGAMANO LA KIBAGUZI HILO...HALINA HATA MWANAMKE MMOJA...YOTE MIDUME TU, ETI INAENDA KUJADILI UCHUMI. HAWAJUI BEHIND EVERY SUCCESSFUL MAN THERE'S A WOMAN? WAMESHINDWA KUMUALIKA HATA MARIA SARUNGI AU MAMA SAMIA. SHWAIN.
Nimegundua ni kwanini Tanzania haiendelei vyema, unaweza kuwa umetoka kucheza chandimu(mpira wa makaratasi), ukacharazwa viboko na mzazi kwanini umejichafua.
MAGUFULI KAONA MUDA UNAENDA NA HANA KIWANDA HATA KIMOJA....KWAHIYO KAMMALIZA MO ILI ATAIFISHE VIWANDA HALAFU 2020 AWE KISHABADILI MAJINA NA NEMBO ZA VIWANDA NDO ASEME "ONENI VIWANDA...NIMETEKELEZA!"
HATA NYERERE NASKIA ALITAIFISHA VIWANDA NA MAJENGO...ETI NDO UHURU NA KUKUKUA KIUCHUMI.
Wakuu,
Ni muda sijaonekana, ila imebidi nijibane japo niingie Internet Cafe niseme neno.
Mo Dewji ni Mtanzania, ila ni Mwarabu pia. Kwahiyo Serikali inapofanya Tacts zake ili kujisongesha, ikumbuke inadili na watu, because of course bado mtaji ni watu, ndio maana hata Somalia, Al Shabaabu...
LABDA HUKO DAR NA MIKOA ISIYO NA MAZIWA WALA BAHARI. SISI MWANZA TUNAKULA CHAI NI SAMAKI, MCHANA NA USIKU NI SAMAKI...UNAKULA SAMAKI MZIMA...SIO KIPANDE...HATA SERIKALI INAPOKUJA NA KUZIPIMA NA RULA IKIMALIZA ZINALIWA....KWAHYO ZUNNGUMZIA DAR MKUU..wazee wa kibua kipande na kamkia ka pweza kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.