Tanzania kuna mafundi bwana asikwambie mtu.... Ishu ya kubwa ya fundi ni kutafuta tatizo ila kitu kupona ni kazi ya mteja kama ana mudu gharama za replacement parts au aachane nayo. Sema wengi mmekariri Kariakoo kwa wabadirisha Vioo, mic, speaker na Charging port... Sema uelekezwe kama unahitaji...
Fanya Hivi tafuta mahindi yaliyotoa ndevu chukua zile ndevu weka kwenye maji yawe ya yaliopoa au ya uvuguvugu baada ya hapo kunywa siku mbili au Tatu then uje unishukuru 0654467798
mbona tamthia nyingi za nje kwetu zinachelewa kuja. Mf: ni tamthilia ya ki Mexico inayorushwa na kituo cha ITV, LA FUERZA DEL DESTINY (the power of Destiny) ilitoka mwaka 2011 ila si tunaicheck leo 2014 nini tatizo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.