demu wangu Ya mchizi mox feat Ngwair ilifanywa Mj RecordsMajani
Japo nilichelewa ila huo wimbo Production ya Miikka Aleksanteri MwambaSina hakika kama Mtoto wa Geti kali ni ya Majani. All in all Majani hana mpinzani, labda MJ tungempambanisha na Mika Mwamba, kwa Majani tunamuonea
Sent using Jamii Forums mobile app