Recent content by Musa Nyambo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mwenyekiti wa UVCCM taifa mpya baada ya Sadifa Juma

    samahanini sana naomba mwenye uwezo wa kuniunga na group la uvcmm taifa aniunge ndugu zangu. sorry kwa wote nitakao kuwa nimewakwaza natanguliza shukrani zangu.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uongo wa CHADEMA waanza kuwatokea puani, Lisu alivaa shati la Blue na si Jeupe wakati wa tukio

    hivi kwa nini watu wengine ni wajinga hivi sasa hakupigwa risasi au vip tumia hata akili japo kidogo kuandika post
  3. M

    JamiiForums Tanzania TFF yatangaza kuipoka Simba pointi tatu, yazirudisha kwa Kagera Sugar

    daa masikini mnyama sasa hawezi kuwinda tena sasa usubiri ufe tuu au wamtafute Bashite akaliibe kombe pale TFF
  4. M

    JamiiForums Tanzania Simba kufanya maandano jumanne kisa points 3 dhidi ya Kagera Sugar

    kwani si walipewa hawa mikia au wamenyang'anywa jamani niambieni ukweli nijue tuu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    kweli mnaringaaaje tupeni maujanja mnazingua tuu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Kanisani Ufufuo na Uzima Almasi itageka maji

    hahaaa hapa kazi kwelikweli
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Bunge limenaswa kwenye ndoana ya maigizo ya Makonda

    tumia hata akili kidogo makonda anatumika tuuu hana anachofanya fala wewe
  8. M

    JamiiForums Tanzania Basata mnasubiri nini kumchukulia hatua Ney wa mitego

    afungiwe kwa lipi sasa maana mbona wimbo ni ukweli mtupu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Lissu: Mfalme mmoja amethibisha kuwa yeye hakuchaguliwa bali amefikia ufalme huo kwa bao la mkono

    nyerere alishughulika na watanzania kwanza na si watu wa butiama tuu sasa acha akili mgando
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kumchagua Lissu mwenyekiti TLS ni kuzika lengo la kuanzishwa kwake

    acha gubu wewe au acha wivu wa kike mbona
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kupiga marufuku punyeto yawasilishwa bungeni Marekani

    vip alifaulu kweli maana ni ujinga wa kiwango cha juuu sana
  12. M

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Kibonde wa Clouds FM ni hatari kwa redio hiyo

    hivi kibonde nae si ziro kabisa mwenye record zake mimi niliwahi sikia alipata SIFURI IV
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

    tuache mzaha huu utaratibu ni utaratibu mbaya sana maana mtuhumiwa ni kama jambo la kuhisiwa tuu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    tatizo langu king'amuzi changu kinasema no signal sasa ni kama miezi miwili sijaona msbadiliko naomba msaada maana namisi sana habari
Back
Top Bottom