Gwajima kaombwa msamaha na Diamond,katuma wazee na watu mashuhuri,Gwajima hajasema neno ila mtu wa karibu na Gwajima kasema kwakuwa Almasi katunga wimbo kumchafua mtumishi wa Mungu basi hana budi kutunga wimbo wa kuomba msamaha,Asipo fanya hivyo ajue katangaza vita rasmi na Gwajima(askofu mwenye upako na asiyejipendekeza kwa upande wowote ) atakipuliwa siku ya ijumaa kuu!
Ijumaa kuu itakuwa siku ya kusulubiwa Diamond!
Ma meneja wa Diamond wameambiwa waandae wimbo wa kumsafisha Gwajima mapema kablaya ijumaa kuu
Ata ukimuona mbaya na hovyo upunguzii chochote kila siku kanisa lake linazidi kujaa anapesa za kukulisha ww na ukoo wenu woteBinafsi ntamuona Gwajima kama kiongozi wa dini wa hovyo kabisa, huwa sikubalianagi sana na wanompinga kuhusu utumish wake, ila kwa hapa ntamshangaa sana tena sana, kwani katajwa vibaya kivipi yan kweny huo wimbo!!? Time will tell..
Hilo halina shida Bro, haiitaji uwe na akili mingi sana kuelewa kwamba Gwajima hatakuwa sahihi kama atataka kumpunish Diamond kwaajili ya huu wimbo wake. Na pia haiitaji kumuongezea Gwajima kitu ndo nione anapofanya ubaya, kama asipofanya sahihi hilo litakuwa wazi tuAta ukimuona mbaya na hovyo upunguzii chochote kila siku kanisa lake linazidi kujaa anapesa za kukulisha ww na ukoo wenu wote