Hawa watu ni watu wasioaminika, na sikitika ni kwanini nyerere alim-trust karume na kumwondoa john okello? Lakini wanasahau kuwa pindi tukijitoa tu zenj haitaonekana katika ramani ya dunia, itabaki makunduchi, nungwi, bububu,mchambawima, donge, chake,gando n.k kwani kila sehemu itatangaza uhuru...