Kwa kweli naomba nisaidiwe au nitoe pole kwa wale wote ambao wameishaibiwa LAPTOPS zao pamoja na magari na vitu vingine vyenye thamani kubwa hapo Mlimani City.
Swali la kuuliza je, wahusika au wamiliki wa Mlimani city pamoja na Kampuni yao ya Ulinzi wanatoa fidia kwa walioibiwa mali zao? Na kama hawajawahi kutoa fidia ni kwanini waendelee kufanyabiashara wakati hawatoi usalama kwa wateja wao na mali zao?
Naomba maoni yenu ndg zangu!!!!!!!! KUHUSU KUENDELEA AU KUTOKUENDELEA NA BIASHARA HADI ULINZI WA UHAKIKA UWEPO.