Netherland UMOJA HOUSE karibu na international house gaden avenue na mirambo, Ireland toure drive karibu na golden tulip hotel, Tawain Tanzania haitambui tawain kama nchi na haina ubalozi tanzanian itakuwa nao Malawi. Korea Tunisia Road Kinondoni. Czech nenda Kenya
Sishangai Bulembo ni kiazi toka zamani hajui chochote,, jiulizeni hawa ndio top cream CCM tutafika salama kweli. Na polisi msifuate amri za wapumbavu manaonekana wajinga fulana kuweni weredi
Kwenye historia hakuna siku ya uhuru ya Zanzibar kuna mapinduzi chini ya Tito Okella na Miezi mitatu baadaye muugano wa Tanganyika na Zanzibar. Chunguza na ndio maana huweza kuiskia uhuru wa Zanzibar, Mpaka leo ZNZ sio Dola na huwezi kuwa huru kama wewe sio Dola
Ndani ya muugano hakuna Znz sio uhuru nje ya muugano zanzibar in sawa na Burundi na member wa east Africa. Wazanzibar mnatakiwa kuwa clear manchotaka, kuna mkanganyiko mwingi kuhusu demand zenu, statehood, muugano wa mkataba na wengine wanataka formula ya sasa Jipangeni vizuri viginevyo this is...
Watanganyika wenzangu mura Mwanakijiji wakati umefika kuwaacha wanzanzibar waende zao mbona nchi yetu bado kubwa sana ile hali Zanzibar ni overpopulated island na threat from raising sea level watamulia majini, watu wanavikimbia visiwa pacific, jambo la kusitikisha kwamba wanaotaka uhuru na...
Siku ya uhuru iko moja tu Dec 9 ile ya Zanzibar sio ya uhuru ni ya Mapinduzi Zanzibar haijwahi kuwa huru kama Taifa, JK yuko sahihi kabisa Duniani hakuna Taifa lijulikanalo kama Zanzibari. Passport ya Bibi Kidude ya Tanzania
Position ya Watanganyika wengi wakati umefika Zanzibar upumue, ila tu baada ya muugano kuvunjika basi, wakubali majukumu kama nchi na wananchi wao, kuja dar mtabeba passport na mtahitaji kibali cha makazi au kufanya kazi ndani ya jamhuri ya Tanganyika bei yake ni dola 2000. Na sisi pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.