Recent content by Muramwaito

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu la mwl Nyerere kuhusu sifa za nchi corrupt na viongozi wake

    Walimshauri usiondoke nchi bado changa, ila akaondoka akawaachia nchi wanamtandao
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mliojenga, shikamooni wakubwa zangu

    Wewe umekutana na madalali Ndio maana, moja ya watu wanaoongeza cost za ujenzi ni madalali Hapo unaweza kukuta dalali kaweka 3 to 4 M mfukoni
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu la mwl Nyerere kuhusu sifa za nchi corrupt na viongozi wake

    Sifa ya Serikali corrupt, sio maneno yangu nimecopy and paste kwa mwl mzee wetu Julius Nyerere Enzi za uhai wake but still Bado anaishi hata sas 1: haikusanyi Kodi 2: inamzigo wa madeni (i.e deni la taifa) 3: inatumwa na wenye mali 4: inawafanyia kazi wenye mali 5: inafukuzana na vijitu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

    Kama ni kwa maslahi ya watanzania Sio vibaya Mkuu kumpoint mtu May be ingekuwa kwa maslahi yake binafsi, sasa huyo Mzee anamaslahi Gani binafsi amesukumwa tu kusema sauti iliyo ndani ya watanzania wengi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

    Uyu mwamba kamchana direct hajapinda pinda hata kidogo 😂
  6. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

    Kumbe watu wanazijua harakati za huyu Mzee na sometimes uvumilivu unawashinda na kuamua kutoa ya moyoni
  7. M

    JamiiForums Tanzania Figisu la Chikwete na Laigwanani lamponza Fred !.

    "Unaekosea pamoja nae ndiye atakuwa wakwanza kukukosea" weka hi code in your mind itakusaidia Sana
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kwa yeyote anayefikiria kuingia katika ndoa

    Katika ndoa, tendo la ndoa sio hiari - ni msingi. Tendo la ndoa linachukua nafasi ndogo sana katika maisha ya ndoa tena kilele chake Ndio huchukua muda mdogo Zaidi I think maximum it can take 30s, hivyo tendo la ndoa likiwa ndio msingi wa ndoa huo msingi utakuwa dhaifu Sana na dhoruba ikija...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ana tabia za wizi na udokozi

    We upo kwenye NDOA unakuwaje na pesa yako? Ubinafsi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna dini inayofundisha ukweli hata moja duniani

    Wewe ni mkuu kuliko dini yaani dini ipo chini yako (i.e wewe ulianza then dini ikafuata badae Sana ) Kwa lugha nyepesi dini haitakiwi kukuathiri wewe bali wewe ndio uithiri dini, wewe hutakiwi kuifuata dini bali dini ndiyo ikufuate wewe kwasababu kati yako na dini wewe ndiye Mkuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna dini inayofundisha ukweli hata moja duniani

    MUNGU pekee ndiye awezaye kuleta ustaarabu kwa watu na Sio dini, ukiona MTU kastaarabika ujue ana hofu ya MUNGU.......i.e amekwenda mbele zaidi na kuipita dini na kukutana na muumba wake Hakuna mtu wa dini ambaye ni mstaraabu hayupo
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuache unafiki wanaume wenzangu, utaweza kuongoza nyumba kikamilifu kama umri wako na wa mkeo ni sawa?

    Ukiona muda (Age) inaathiri maisha yenu ya ndoa/mahusiano ujue UPENDO haupo, B'se UPENDO upo nje ya muda hivyo hauathiriwi na muda/umri
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna dini inayofundisha ukweli hata moja duniani

    Kuna tofauti kubwa kati ya MUNGU na dini, dini ndiyo ilimpinga na kumkataa na kumuhukumu na kumsulubisha KRISTO Cha kushangaza watu wengi wa dunia hi wanafuata dini hawana mpango na muumba wao
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ameanza kuwa bonge namimi sipendi mabonge

    Hakuna jambo mbaya kama kula kula (urafi) katika Dunia hi, ukifanikiwa kushinda tamaa ya kula (urafi) utashinda yote juu ya dunia hi likiwemo hilo la kunenepa bila utaratibu Anza kuwa na ratiba ya kufunga wewe na mke wako, hautoshinda hilo tu la kunenepa bila utaratibu Bali utashinda na...
Back
Top Bottom