Figisu la Chikwete na Laigwanani lamponza Fred !.

Nyie mlisema kikwete ni mtu wa mtandao na Edward Lowassa pia alikuwa ni mwanamtandao.vipi leo mnasema kikwete haipendi familia ya Lowassa

"Unaekosea pamoja nae ndiye atakuwa wakwanza kukukosea" weka hi code in your mind itakusaidia Sana
 
Kwahiyo na kwa makamba ana chuki gani? Maana mwezi wa kwanza naye chali hatua za mapema tuu
Huyo kosa lake ni kutamani kiti Cha magogoni, pia kaliwa kichwa kumtoa mchezoni ili Riz moko abaki pekee kwenye ramani
 
Heshima sana wanajamvi.

Mbunge wa Monduli Fred Elowassa kaliwa kichwa pamoja na kushinda kwa kishindo kura za maoni.

Ikimbukwe katika msiba wa Baba yske Fred Marehemu Ngoyai Mzee Chikwete hakupewa nafasi ya kutoa salamu.

Inasemekana jambo hilo lilimkera sana Rais Mstaafu kiasi cha kupandwa na hasira kali hadi mwili kutetemeka kama mgonjwa wa kifafa.

Mzee wa visasi akaapa kumtia adabu Fred na familia kwa ujumla ambayo iliweza kumpatia nafasi ya kutoa salamu mzee wa anga.

Mzee wa visasi ambaye kwasasa ni Rais nyuma ya Rais anayejulikana akatoa amri kuu CCM wabadili katiba ya kuwawezesha Viongozi wakuu kutengua maamuzi ya wananchi.

Ngongo kwasasa Monduli ndani ya kikao cha marafiki wa Fred tukijadili kwa kina kifuatacho.
Lo……..imekjwa hivyo?
 
Kwahiyo na kwa makamba ana chuki gani? Maana mwezi wa kwanza naye chali hatua za mapema tuu
Power struggle hiyo 🤣🤣

Anahofu makamba atakuja kuwa Raisi wakati yeye anamtaka mwanae ndiye aje kuwa Raisi
 
Heshima sana wanajamvi.

Mbunge wa Monduli Fred Elowassa kaliwa kichwa pamoja na kushinda kwa kishindo kura za maoni.

Ikimbukwe katika msiba wa Baba yske Fred Marehemu Ngoyai Mzee Chikwete hakupewa nafasi ya kutoa salamu.

Inasemekana jambo hilo lilimkera sana Rais Mstaafu kiasi cha kupandwa na hasira kali hadi mwili kutetemeka kama mgonjwa wa kifafa.

Mzee wa visasi akaapa kumtia adabu Fred na familia kwa ujumla ambayo iliweza kumpatia nafasi ya kutoa salamu mzee wa anga.

Mzee wa visasi ambaye kwasasa ni Rais nyuma ya Rais anayejulikana akatoa amri kuu CCM wabadili katiba ya kuwawezesha Viongozi wakuu kutengua maamuzi ya wananchi.

Ngongo kwasasa Monduli ndani ya kikao cha marafiki wa Fred tukijadili kwa kina kifuatacho.
Chadema bila kutoa vichambo kwa kikwete inaonekana mtaumwa.
 
Power struggle hiyo 🤣🤣

Anahofu makamba atakuja kuwa Raisi wakati yeye anamtaka mwanae ndiye aje kuwa Raisi
Makamba si lolote si chochote anabebwa na jina la Baba yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom