Recent content by Munu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mama J, shabiki wa Yanga

    Nami nirushie mkuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mama J, shabiki wa Yanga

    Nitumie Tafadhali
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mama J, shabiki wa Yanga

    Na mimi akikutumia nitumie
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live from Tunis: Tunisia vs Tanzania

    Taifa stars mbona wanaruruka tu
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

    Mbona tutakuwa bored sana Tweeter, You Tube ......???????
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uchimbaji wa visima virefu vya maji

    Tafadhali kwa yeyote anayejua au anao uzoefu wa gharama za uchimbaji wa visima naomba anielezee mchanganuo wake akijumuisha na gharama za uchunguzi (surveying) eneo nilipo ni Mbeya km 8 kabla ujafika Uyole barabara kuu ya kutokea Makambako. Vilevile anayejua makampuni ya uchimbaji visima...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Soka Tanzania Bara 28 Dec 2016: Yanga Sc 4 Ndanda FC 0

    Acha kijiba cha roho
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Soka Tanzania Bara 28 Dec 2016: Yanga Sc 4 Ndanda FC 0

    Piga ndanda hao goli kumi ubingwa ni wana jangwani
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Hilda Nkanda kuwa Kamishna wa Kazi

    Prof.Tumbo yupo vizuri sana hata alipomaliza Phd yake Marekani walimshawishi abakie kule ili wamtumie lakini kwasababu ya uzalendo wa Taifa lake hakamua kurudi, Hongera sana Prof. hakika unastahili kwa nafasi hiyo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uhakiki wa Watumishi hewa serikalini huendane na uhakiki wa vyeti

    Swala la uhakiki wa watumishi hewa serikalini ni zuri na faida kwa nchi maana hili tatizo limesababisha hasara ya muda mrefu, kwa maoni yangu ni vizuri uhakiki huu ukaendana na ukaguzi wa vyeti maana kama tutaendelea kubaki na watumishi ambao wapo kazini kweli na wameajiriwa lakini hawana sifa...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Germany Vs England

    Full Time GER 2 - 3 ENG
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wachezaji wa Man U kama manyumbu
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Man U washalia 1
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

    Kumpakata ndiyo nini mkuu?
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Bara: Simba vs Yanga, 08 Machi 2015

    Naomba kuuliza hivi simba kwa kuifunga yanga inaweza kubeba kombe la ligi au inagombania nafasi ya tatu?
Back
Top Bottom