Recent content by munir salim

  1. M

    JamiiForums Tanzania Picha baada ya Kufungwa mpaka wa Zambia na Tanzania

    Wacha wafunge tuu wajikinge maana sisi Tz ni virusiiii Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Sukari: Sukari ipo ya kutosha na nyingine inashushwa bandarini Dar na nyingine ipo mpakani Kasumulu inaingizwa kutoka Malawi

    Kuna haja ya kurudisha hao jamaa darasani maana maneno na vitendo vyao vinakinzana Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Biashara rahisi ya mtandao

    hiyo biashara ya ndoto kwkwkwkwkwkwkw
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kimawazo marafiki

    Nipo morogoro mjini,my email ni jumaismail28@gmail.com niko tayari kwenda mkoa wowote
  5. M

    JamiiForums Tanzania Masomo ya kilimo

    Okay thanks broo
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kimawazo marafiki

    Nina nia wakubwa ndio maana nimeuliza ila ahsanten kwa ushauri wacha nifanyie kazi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Gari la serikali latumia milioni 44 kwa ukarabati

    Wizi mtupu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Nataka kulima kitunguu angalau hekari moja tu na Tsh.milioni moja, Je! Mtaji unatosha na kwa tathimini niko sawa?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Ni mtaji kiasi gani wafaa kilimo cha kitunguu kwa heka moja?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kimawazo marafiki

    Ningependa kusomea fulcute za afya,kilimo
  11. M

    JamiiForums Tanzania halaaaaa

    Good boy munir salim
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kimawazo marafiki

    Nimemaliza kidato cha nne 2012 na kupata alama D katika masomo saba ambayo ni history, geograph, kiswahili, civics, commerce, bookkeeping, biology. Nni chuo kipi naweza pata nafasi kozi ipi itafaa na yenye manufaa na soko kwa sasa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Masomo ya kilimo

    Marafiki nisaidieni mawazo nimemaliza kidato cha nne 2012 na kupata alama D katika masomo ya biology,history,bookkeeping,commerce,civics na kiswahili nichuo gani nafaa kwenda na kwa fucult ipi?
Back
Top Bottom